Nguo za ndani zisihusu tena? Bikini nyeupee, kanguo karesi resi keupe tena kepesiii, kafupiiii. Lazima isi........
shsh shhiiiiiiiii....we! usimalizie utapigwa ban bure afu tukose uhondo hapa!!
Nguo za ndani zisihusu tena? Bikini nyeupee, kanguo karesi resi keupe tena kepesiii, kafupiiii. Lazima isi........
Hutaki "Shikamoo baba" mpaka chumbani?
Hahahaha hujatulia wewe. . .eti mpaka dada.
Ila kweli inaweza ikawasave wale wanaotoka kwasababu tu mambo hayavutii nyumbani. Kwahiyo tusaidiane kutulizana.
hata unadhani kunakuwa na sababu ya msingi basi>!?......... ni tu-vitu vitu tu kama hutu!ndo maana mtu akishashusha 'vyombo' huko mpango w kando akili moja wka moja wka wa kwake 'wa ukweli'...na huo mpango wa kando utakumbukwa tena'when the need arises!
umeona kweli kabisa yaweza zua mzozo lolz!Kama alishazoea kila siku hadi atake yeye....hapo atashindwa kukusoma labda msichana ajitoe fahamu na wine
ouh haya mama!Hehehehe wa kukufikiria vibaya hata ukicheka tu wakati ye anataka/alitegemea unune atakufikiria vibaya. Unajiachia tu taratibu, ikimsumbua aulize apate majibu!!