Bad girls ARE SEXY!

Only kama unataka nikatafute nyumba ndogo

Hahahaha. . ungeitikia basi kabla ya kunitahadharisha.

Basi sitorudia tena baba. . sasa hivi ni mwendo wa "Mambo baba, niaje baba, ni vipi baba, inakuwaje baba" kama vijana wa kileo.Lolz
 
Duh, aisee mmmhhh (exhale)
baada ya yote nlyopitia kumbe nahitaji Bad Girl lol....

'This massage has been deleted by jG. . reason unkown'
Curious. . curious. . curoius. . lolz

Hehehehe labda hauhitaji!!Kwani we unapenda mtundu mtundu kama hapo kwa post ya kwanza?
 
Nilichapia sana ndio maana nkaifuta bwana....
Kwenye post ya 1? Nadhani ndio, unajua kuna vitu haujui kama unavihitaji mpaka uvione au ufanyiwe au usimuliwe au .... nk!
Usimuliaji wako umeibua ombwe la kimahaba na hisia kwenye nafsi yangu ndio maana nika (exhale) lol
 
Lizzy weee, ndo maana huwa sizivuki post zako hasa huku tuliko. Umenifanya nitamani kule Muhimbili mgomo wa ugali kwa kabichi uendelee mlengwa arudi nyumbani nimalizie Kabisa yoye yaliyokuwa yamesalia. Loooh.
 
Hahahaha. . . Haya vuta pumzi ndeeeeefu alafu uishushe taratibu ukifikiria "ipo siku." Lolz

Next time inabidi utoe somo mwenyewe ukiona mwenzio haelekei. .
 
Lizzy weee, ndo maana huwa sizivuki post zako hasa huku tuliko. Umenifanya nitamani kule Muhimbili mgomo wa ugali kwa kabichi uendelee mlengwa arudi nyumbani nimalizie Kabisa yoye yaliyokuwa yamesalia. Loooh.

Asante mami.

Hahaha. . . kwahiyo mgumu ukiisha full kununa? Embu tumia huo muda vizuri aisee. . msahaulishe hata kuna cha mgomo.
 
Best itabidi nijipange kwa mashambulizi akimaliza semester hii. Nakuahidi Lizzy nitakuja na report kamili, kama ajavuta wiki mbili nitasema sikuambua kitu. JF a school ati looh!
 
Hahahaha mbona atakukoma.Ila angalia asije akakuanzishia kesi ya "umeanza uhuni ehhh" lolz
Nakupa ruhusa mapema, ikibidi niuzie mimi kesi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom