Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
lakini ningependa iwe only from special one..the one i loveteaser! lol
lakini ningependa iwe only from special one..the one i loveteaser! lol
soda lazima upate na nyama choma.ume hit direct to the pointHahaha. .
Sindio mnapenda bana?
Embu mninunulie hata soda basi maana Valentine mnaweza mkafurahishwa wengi.
dada jina lako na avator yako mmependeza. its a complimentDa Lizzy, yaani... mmmh.. eeee... usiku mwema!
dada jina lako na avator yako mmependeza. its a compliment
hujamtia majarabuni. hii post yako mimi itabidi niiprint na kuisambaza..nitampa hadi dada yangu..mtu akifuata yote hayo hakuna ndoa itakayovunjikaHehehehe mbona unaguna tu Mim?
Pole kama nimekutia majaribuni.
Hehehehe mbona unaguna tu Mim?
Pole kama nimekutia majaribuni.
lol..pole sana mimtamuHapana wangu.. Nisikufiche, niliposoma thread yako, nimetokwa na machozi. Unajua hawa wanaume huwa hajui thamani ya mwanamke, hasa akijua unampenda kupindukia. Hayo uliyoandika was my life style kwa mwenzi wangu. Sitamani wanaume tena.. hawana maana
hujamtia majarabuni. hii post yako mimi itabidi niiprint na kuisambaza..nitampa hadi dada yangu..mtu akifuata yote hayo hakuna ndoa itakayovunjika
Hapana wangu.. Nisikufiche, niliposoma thread yako, nimetokwa na machozi. Unajua hawa wanaume huwa hajui thamani ya mwanamke, hasa akijua unampenda kupindukia. Hayo uliyoandika was my life style kwa mwenzi wangu. Sitamani wanaume tena.. hawana maana
offcourse dada zangu naweza kuwapa japo ni wakubwa kwangu sana tu.Hahahaha hujatulia wewe. . .eti mpaka dada.
Ila kweli inaweza ikawasave wale wanaotoka kwasababu tu mambo hayavutii nyumbani. Kwahiyo tusaidiane kutulizana.
Haina ubaya hivyo ruksa. . .offcourse dada zangu naweza kuwapa japo ni wakubwa kwangu sana tu.
lakini umeona post ya mimtamu?
Ohhh pole sana Mim. . .
Ila usifikirie kwamba alivyokua huyo ndivyo walivyo wote. Wanaojali na kuthamini wenzi wao wapo. . .wako atakuja tu, tena when you least expect it.
Hahahaha mbona atakukoma.Ila angalia asije akakuanzishia kesi ya "umeanza uhuni ehhh" lolz
Nakupa ruhusa mapema, ikibidi niuzie mimi kesi.
Muombe Mungu tu lazima utapata..ila tu usije ukatongoze mwanaume kwani wengi wao ukimtongoza badae ataanza kukuletea madharau. lakini hizo hints alizota Lizzy hapo ni limbwata tosha kwangu.Thanx ma dear! Ila, nitamjuaje aliye mwaminifu na mwenye mapenzi ya kweli? Mi nayaheshimu sana mapenzi, sipendi kuhangaika. He was my 2nd x, naogopa na naona aibu kuwa na list kubwa ya men ktk maisha yangu ya mapenzi
Muombe Mungu tu lazima utapata..ila tu usije ukatongoze mwanaume kwani wengi wao ukimtongoza badae ataanza kukuletea madharau. lakini hizo hints alizota Lizzy hapo ni limbwata tosha kwangu.