Back to the school

Back to the school

Nilikaa chooni Karibu dakika 45 kisa sitaki kwenda kusali lakini mwalimu alinivumilia na kuanza kunitembeza madarasa yote kama mimi ni mtu WA kwenda motoni. Walisoma alharamain nafikiri mnanikumbuka.
Nalog off

nadhani baada ya shule umebadilika
 
Mie nimekumbuka nilivyokua najimudu kwenye sAbJJekTi yA bAyoROjii na mASeMaTikSI
 
Wakati tunafunga shule nilichonganishwa na rafikiyangu anaitwa erick bashange tukazichapa sijui yupowapi huyo janaa
 
Back
Top Bottom