Back to the school

Back to the school

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
53,246
Reaction score
50,468
Habari za weekend wana cc, nimekutana na classmate wangu wa enzi za O level tumekumbushana mengi sana ikiwemo vituko vilivyo happen enzi tunasoma. Mbali na utoro ambao ni common kituko gani ukikimbuka unabaki hoi, mimi binafsi ni kupiga kengele dakika 5 baada ya kuingia darasani kwa kukosa msosi wa mchana wewe je?.
 
nakumbuka nilikuwa mtoro o'level mpaka watu nilikuwa hawanijui ....
 
Mmmh.. niliwahi dakwa darini na lita zangu tatu za Ulanzi kutoka Ibigi. Tuliokuwa nao Aggrey miaka hiyo watakuwa wanakumbuka.

Wewe ungesoma Itende ulanzi ungekukoma maana wanautengeneza zero distance kutoka madarasani
 
nakumbuka nilikuwa mtoro o'level mpaka watu nilikuwa hawanijui ....

Shemeji nimekuta mtu ana avata kama yako you tube katoa comment kwenye video ya mtu katukanaje si nikadhani ni wewe loo
 
Mmmh.. niliwahi dakwa darini na lita zangu tatu za Ulanzi kutoka Ibigi. Tuliokuwa nao Aggrey miaka hiyo watakuwa wanakumbuka.

hahahaaa! kuna jamaa alikutwa darini anapiga kitabu, kaunganisha hadi balb, kaweka godoro na neti juu, acha aletwe assemble huku kabebeshwa furushi la hivo vikorokoro!
 
Nakumbuka akiingia mwalimu wa math ni vituko kama comedy
 
Nakumbuka mwalimu wa physics alivokuwa akituchapa fimbo za ------ kisa tumekosa kipindi yaani ningemuona saivi nampiga mawe
 
Nakumbuka nikiwa o'lev na cheo cha utunzaji mud a, kengele ya mapmuziko na kuondoka nilikuwa nawahi kugonga, lakin ya kuingia darasani hadi nikumbushwe,,,,,
 
Nilikaa chooni Karibu dakika 45 kisa sitaki kwenda kusali lakini mwalimu alinivumilia na kuanza kunitembeza madarasa yote kama mimi ni mtu WA kwenda motoni. Walisoma alharamain nafikiri mnanikumbuka.
Nalog off
 
Nakumbuka niliitwa assemble ili nitoe morning speech,nikachikichia mitini; Kasulu sec mpoooo!
 
Wewe ungesoma Itende ulanzi ungekukoma maana wanautengeneza zero distance kutoka madarasani

E bwana Rungwe Sec. tulikuwa tunaufuata kijijini, raha ilikuwa lita moja inauzwa sh.25 basi unaenda na sh.50 lakini kabla ya kununua hizo lita 2 unajikuta umeonja zaidi ya lita 5 kwa watu tofauti. unajikuta umelewa hizo mbili unaenda kuzifungia darini..
 
Hivi yale mawe pale Rungwe sec bado yapo? Mlikuwa nmaturushia mkifungwa kwenye match za mpira😏
 
E bwana Rungwe Sec. tulikuwa
tunaufuata kijijini, raha ilikuwa lita moja inauzwa sh.25 basi unaenda
na sh.50 lakini kabla ya kununua hizo lita 2 unajikuta umeonja zaidi ya
lita 5 kwa watu tofauti. unajikuta umelewa hizo mbili unaenda kuzifungia
darini..

Jamani,haya ya kweli au ndo mambo ya CC daah! Mpaka mbavu zinaniuma kwa kicheko.
 
Back
Top Bottom