Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,405
- 21,786
Bila shaka hawa ndo wale waliimba "Dada Remmy"Tabora jazzy band
Bila shaka hawa ndo wale waliimba "Dada Remmy"Tabora jazzy band
life was then...This beauty is forever gone...!!!
Umeone eeeh, alafu alikua anamfokea huyo tall adi mzee Nkapa kaduwaa Wariobo ndo loo karudi nyuma kabisaa kashika kiuno kama hakuwepo vile. Hahahahaha!!Ila huyu mwalimu anaonekana alikua mkorofi sana,
Ona alivyoshika fimbo kwa mkwala!
Mshana Jr huyo mwenye kikofia na suruale alopiga picha na watoto wa kizungu ni nani au Bob Makani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Innocence is bliss.life was then...
when diabetic diseases were for the very old...Wen HIV-AIDS was unborn voc....!!!!