kwani wameshaanza kuhesabu babu?We mpare njoo huku mlimani uhesabiwe...
Tayari. Mi nshapata nambakwani wameshaanza kuhesabu babu?
Na mbuzi choma. Mzee baba hachelewi kupiga marufuku magari yasiende Kaskazini. Wajanja tushajiwahia zetu bila shurutiMuda bado wewe unawahi nini huko? Mbege?
Ila huyu mwalimu anaonekana alikua mkorofi sana,
@bbadekwani wameshaanza kuhesabu babu?
@bbade
Enzi zetu kipindi hicho tuliowahi kufika mjini
Hakuna wazee sema vijana wa zamani[emoji2][emoji2]kumbe kuna wazee humu
Hivi ilitakiwa kuwa kuwa back to the future au back to the past? Au future to the past?