radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,427
- 32,196
sidhan kama Ronaldo aliwahi kumkana mwanaye hadharani wala kumtusi baby mama wake
Mwanzo diamond kaongea kwamba walikubaliana kila kitu hata ronaldo walikubaliana changudoa aliyemzalisha nini kimemtuma kuanza kujitangazisha? Hata mm nakutakana ni malaya kweli kwani hajui kama ana zari tena malaya kweli mond hajakosea yupo sahihi na ndio maana kasisitiza ataomba msamaha had south awe na zari tu sio bitch hamisa.