Back to back,Hamisa Mobetto na yeye kesho kuibuka mjengoni

sidhan kama Ronaldo aliwahi kumkana mwanaye hadharani wala kumtusi baby mama wake

Mwanzo diamond kaongea kwamba walikubaliana kila kitu hata ronaldo walikubaliana changudoa aliyemzalisha nini kimemtuma kuanza kujitangazisha? Hata mm nakutakana ni malaya kweli kwani hajui kama ana zari tena malaya kweli mond hajakosea yupo sahihi na ndio maana kasisitiza ataomba msamaha had south awe na zari tu sio bitch hamisa.
 
Duh!!!!
 
Akijitokeza huenda akajiharibia zaidi Christiano Ronaldo alizaa na mwanamke asiyejulikana na alilipwa pesa ndefu mzaaji ametulia hadi leo maisha yanaendelea vizur tu wazungu wametuacha mbali mno ingekuwa bongo kwa utajir ule wa ronaldo na umaarufu alionao mtu kama hamisa unamwambia tulia walahi anakuua. Ronaldo junior anashinda sana bibi yake + baba yake wanafurahia maisha
Do you think money can buy any one?????

Fikiria tRNA mkuu
 
Kaka naona uko na ronaldo leo ila kumbuka CR7 waliingia mkataba na nchi zao vinaruhusiwa hvyoo

Kama alivyosema diamond walikubaliana na hamisa kila kitu ila yeye kamzunguka unafiki ni mbaya ndo utakao mtesa jamaa atakuwa bize kupigania penz kwa zari huko ronardo hakuna walipoandikishiana ni makubaliano yao na akili zao tu halikuwepo ki mkataba waliongea kama mond alivyomuomba hamisa.
 
Mnahamishiwa akili kwingine...

Kesho watakuja na makanusho kwamba DNA zimeonesha mtoto ni wa fulani na siyo fulani...

Mnabaki kuambulia kumradhi..

Cc: mahondaw
 
Akijitokeza huenda akajiharibia zaidi Christiano Ronaldo alizaa na mwanamke asiyejulikana na alilipwa pesa ndefu mzaaji ametulia hadi leo maisha yanaendelea vizur tu wazungu wametuacha mbali mno ingekuwa bongo kwa utajir ule wa ronaldo na umaarufu alionao mtu kama hamisa unamwambia tulia walahi anakuua. Ronaldo junior anashinda sana bibi yake + baba yake wanafurahia maisha
rejea faiza anachokifanya
 
Diamond amekubali mtoto sasa si vema akaenda kuendeleza mambo ya uswahilini ...akae alee mtoto wake ambaye Dai anampa matunzo.
hakuna Zaidi ya kunyamaza
 
Nataka kusikia Hamisa akisema " Daimond kaniambia mbunye yangu tamu kuliko ya Zari ndio maana ananipenda mm Hamisa na akanipa mimba" hapoo sasa
Imepakwa Asali au Sukari? Remember that pleasure is not between legs! It originates from your Brain!
 
Sidhan km kutakuwa na jipya labda akatae km hajawai kupewa Rav 4 na pesa
 
Siku hizi wadada hamna staa kipindi cha wahenga wadada walikua hawakubali kua kazini na fulani maana ni aibu. Leo hii uzinzi ni ndio ujanja sisemi mimi sifanyi hayo mambo sema staa ni kitu kizuri sana kwa heshima yako binafsi haswa kipindi hichi cha utandawazi kumbuka kumbukumbu zinabaki kwenye server za blog milele daima ukizeeka Mungu akikujalia maisha marefu utaona aibu mbeleni kwako na familia yako
 
Mwanzo diamond kaongea kwamba walikubaliana kila kitu hata ronaldo walikubaliana changudoa aliyemzalisha nini kimemtuma kuanza kujitangazisha? Hata mm nakutakana ni malaya kweli kwani hajui kama ana zari tena malaya kweli mond hajakosea yupo sahihi na ndio maana kasisitiza ataomba msamaha had south awe na zari tu sio bitch hamisa.
Sasa huyo zari ana tofauti gani na hamisa wote ni gold diggers !

Tena bora hamisa hana limkanda la kujidildo, but Zari na huo msitu? Aibuu asee!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom