Ndiyo.. Land Rover inazo low range na high range gear lever..
Katika hizo model za mwanzo zilikua ni gear lever mbili tofauti. Baadae ndy zikawa zapatikana kwenye gear lever moja tu (4WD)….

Yah hapa akiwa rais wa zanzibar na ally mwinyi akiwa rais wa JMT,pemebeni utamuona waziri kiongozi maalim seif na waziri mkuu jaji warioba hapa ni kati ya mwaka 1985-90