2015:the economic issues must take centre stage in our politics

Mbelwa Germano

JF-Expert Member
May 7, 2011
789
289
Malengo ya kisiasa ya mataifa ya kisasa yamebadilika.Siasa za sasa ni kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia.Ili kupiga hatua kiteknolojia lazima kuwepo na supporting economy.Uchumi uliolala kama huu wa nchi yetu hautoi fursa ya kujikwamua kutoka katika dimbwi la umaskini na maradhi.

Sasa tunazungumzia katiba mpya, somo ambalo linapendwa na wanasiasa wengi for their political survival.Pamoja na umuhimu wake katika kujenga msingi muhimu wa mahusiano ya kiutawala si suluhisho la matatizo yetu makubwa, in a wider perspective the constitutional debates are talking platform for failures.Na kwasababu tumekosa viongozi makini kutuongoza tusipokuwa makini tutegemee tailor made constitution.

If so and not so our main focus mwaka 2015 iwe kuzungumzia uchumi wa taifa letu,tuwe na IQ test kwa wanasiasa wetu ni kwa jinsi gani tutaondokana na maadui mawili wa mafanikio ya kiuchumi ya taifa letu: dependence syndrome on foreign aid na investment as oppoased to local investment na mwisho they should expose and condemn the imperialist' double standards and desire to keep our country in poverty kupitia mawakala wao (IMF na WB) bila hivyo taifa letu litaendelea kuwa wachuuzi wa malighafi na kujenga uchumi wa wazungu na wachina na kuendelea na umaskini wetu kama taifa.

Hii "Entitled Mentality" ya wananchi na viongozi wetu lazima ivunjwe isiwe mtaji wa kisiasa kwa wanasiasa.Mwaka 2015 haupaswi kuwa mwaka wa siasa nyepesinyepesi,siasa hizo ndio zimefikisha taifa hili hapa lilipo na linaendelea kuqualify kuwa HIPC kwa maendeleo ya wazungu.

Lazima tubadilike.
 
Back
Top Bottom