Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
karibu tena!
mtazame mkeo usoni na umwambie neno lile hasa utakaloliona kupitia macho yake!
MKAWE NA MAISHA YA AMANI SANA!kumbuka nilikwambia mkubalia kukua pamoja,ryt?then kila la kheri Cathode Rays ,mwambie bibie bado nasubiri PM yake!
mengine ni girlie stuff u know!
mimi penda nyie thana!
Wapendwa wana MMU,
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifanikisha na kunivusha katika hatua ya muhimu kwenye maisha yangu mnamo siku ya tarehe 24/11 ambapo nilijipatia mwenza wa maisha huko mkoani Tanga. Kama ndoto lakini imekuwa kweli na sasa siko peke yangu tena bali tu "wawili tulio mwili mmoja"
Tumekuwa na wakati mzuri pia kwa honeymoon tukifurahia ndani ya Tanga, kisha tukakatiza mpaka Bwagamoyo hapo angalau kupitia historia inayopatikana eeneo hilo tukajirukia zetu na FastJet kutoka Dar mpaka KIA na kutumbukia hapo Arusha angalau kuendelea kushangaa maajabu ya Mungu na kisha kurudi tena Dsm na leo rasmi nimerudi kazini Morogoro....
Mpwa Elli, snowhite, Pdidy, Mamndenyi, Mbimbinho na wengine wote, ahsanteni kwa shule nzuri mliyonipatia na changamoto za hapa na pale....
Karibuni sana Morogoro na ahsanteni kwa yote

Tutawakumbukeni kwenye maombi pia, maana maombi ni muhimu sana, vinginevyo mkeo aweza kugeuka kuwa mwiba au wewe waweza kugeuka kuwa mwiba kwa mwenzio, basi tunazikataa nguvu na hila zozote zile za mwovu shetani
Wapendwa wana MMU,
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifanikisha na kunivusha katika hatua ya muhimu kwenye maisha yangu mnamo siku ya tarehe 24/11 ambapo nilijipatia mwenza wa maisha huko mkoani Tanga. Kama ndoto lakini imekuwa kweli na sasa siko peke yangu tena bali tu "wawili tulio mwili mmoja"
Tumekuwa na wakati mzuri pia kwa honeymoon tukifurahia ndani ya Tanga, kisha tukakatiza mpaka Bwagamoyo hapo angalau kupitia historia inayopatikana eeneo hilo tukajirukia zetu na FastJet kutoka Dar mpaka KIA na kutumbukia hapo Arusha angalau kuendelea kushangaa maajabu ya Mungu na kisha kurudi tena Dsm na leo rasmi nimerudi kazini Morogoro....
Mpwa Elli, snowhite, Pdidy, Mamndenyi, Mbimbinho na wengine wote, ahsanteni kwa shule nzuri mliyonipatia na changamoto za hapa na pale....
Karibuni sana Morogoro na ahsanteni kwa yote
Hongera sana kaka. Ulipotea mazima, haidhuru manake ni kwa wema. Msalamie bi kharusi.
kama unataka ushauri wa kudumu kwenye ndoa waite the boss, asprin, dark city, na kaizer!!!!!!!! the cheatters club!!!!!(wazee wa katerero!) umoja wao una siri zote za ki cia, fbi, kgb, scotland yard!!!!!!!!! Ukipata membership ya club yao, i guarantee you will be the happiest man! (married ofcourse)
Kama unataka ushauri wa kudumu kwenye ndoa waite The Boss, Asprin, Dark City, na Kaizer!!!!!!!! THE CHEATTERS CLUB!!!!!(Wazee wa Katerero!) Umoja wao una siri zote za ki CIA, FBI, KGB, SCOTLAND YARD!!!!!!!!! Ukipata membership ya club yao, i guarantee you will be the happiest man! (Married Ofcourse)