Back From BAN...CC Nimewa-miss Sana

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
37,526
25,734
Kwakweli nimewamiss sana wana Cc wote...Hali ilikuwa ngumu sana kifungoni lakini Inshallah leo nimekuwa huru....(Siasani kule hakufai)

Copy to All Chit Chat Members...
 
Pole sana na karibu. Nadhani utakuwa umejirekebisha

Ha ha ha...Kule siasani nikama kuna laana unaweza jikuta unaporomosha matusi bila kujitambua...The moment unapata fahamu kuwa umetukana, tayari upo kwenye server za JF....
 
Kilikusibu nini kule!?
Nimetoka kuburuzana nao juzi..
Kuja kuhamaki ritz, zomba wana'ban ikabidi nikimbie

Wacha kabisa mkuu..Ule uzi wakufungiwa kwa Iman na Clouds fm..Akaja boya flan hivi, mzee wa Takbir akawa analeta uharo nikampa makavu live...

Kiherere yule mara akaanza mention ma-mods waje waone jinsi alivyo zalilishwa....Mods bila ajizi wakanisweka ndani..
 
Pole sana tedo,hivi ninavyo zungumza,nipo ndani ya server za Jf kwa sababu kama ya kwako.
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli nimewamiss sana wana Cc wote...Hali ilikuwa ngumu sana kifungoni lakini Inshallah leo nimekuwa huru....(Siasani kule hakufai)

Copy to All Chit Chat Members...

Welcome back man!
 
Back
Top Bottom