Bacherol of banking and financial services

siansakala

Member
Aug 12, 2012
75
10
wadau mnisaidie,,nilichagua hiyo coz UDSM,,,wamenipa,,sasa nitakuwa nani,,,naogopa kuwa bankteller,,,ivi mshahara wao ni sh ngapi????
 
ilo swali ulipaswa uulize kabla ujachagua iyo kozi, wewe unataka kuwa nani?? meneja au
 
wadau mnisaidie,,nilichagua hiyo coz UDSM,,,wamenipa,,sasa nitakuwa nani,,,naogopa kuwa bankteller,,,ivi mshahara wao ni sh ngapi????


We mtoto kwani nani amekwambia UDSM wametoa selection zao!!! au umefuata yale majina yasiyo na udhibitisho???

anyway inamaana wewe ulipokuwa unasoma toka umeanza darasa la kwanza hukujua unapenda usomee nini? umejazaje coz usiyojua future yake au umefuata jina zuri 'BANKING AND FINANCIAL SERVICES'?? wabongo bana huwa hatunaga future, yaaan mtu unajaza coz kutokana na jina bila kujua future yake ni nini??

any way hiyo coz does not mean utakuwa bank teller but utasoma course nyingi zinazorelate na banking services pia financial services, tunasema unakuwa BANKER mean any bank position unaweza fanya though kazi za bank hata mtu aliyesoma socology anaweza fanya, unaweza kuwa bankteller, bank officer, or credit officer, bank auditor etc pia course hiyo inakuwezesha kufanya kazi taasisi yoyote sio bank tu, but in finance related issues.

KUMBUKA COZ HIYO KAMA SIJAKOSEA NI MPYA PALE UDBS - UDSM. Kama umechaguliwa karibu sana hapa tupo wakongwe sie tunamiaka 5 pale sasa.
 
Kwan udsm imeshtoa selection zake coz mi naztafta cjazpata bdo , kama unazo naomba uzitupie zikwa downloded coz wengine 2na2mia cm
 
Back
Top Bottom