Bachelor Of Science in Computer and Information Security vs Bachelor Of Science in information system

hapana mkuu sio hivyo.. najaribu kutafuta mawazo na mitazamo ya watu wengine pia.. ila asante kwa mtazamo wako

Usisome kutokana na mawazo au mitazamo ya watu.... wewe wahitaji nini kati ya hizo na kwa sababu gani ujijibu hayo halafu utajua
 
usisome kutokana na mawazo au mitazamo ya watu.... wewe wahitaji nini kati ya hizo na kwa sababu gani ujijibu hayo afu utajua
Ni kweli kiongozi.. lakini ushauri kutoka kwa watu wanaojua mambo nao pia una umuhimu wake
 
asante kiongozi unaweza kunipa sababu kama hautojari..
Kwanza nilikua naangalia masomo wanayosoma, upande ya comp security wako more specific kuliko it ya kawaida!

Watu wa security wanasoma almost kila kitu cha mtu wa it ya kawaida, ila wao wanakua wamebase sana kwenye network na security!!

It ya kwaida na comp security wote wanasoma programming kuanzia java, c mpaka web development ila faida ya comp security anakua anabase sana kwenye security na ana modules nyingi za upande huo!!

Mkuu sasa hivi ukiacha nuclear weapons ambazo mmarekan anakimbizana na akina kiduku pia ukiacha terrorism TISHIO LINGINE LINALOITIKISA DUNIA NI CYBER SECURITY AND ATTACKS!! unajua nini kilitokea kwenye uchaguzi wa usa mwaka jana?? Hahaha kama hujui ile ilikua kazi ya mrusi!!

Tuachane na hao wamarekan tuje hapa kwetu..

Unakumbuka TRA ilisema wafanya biashara wanunue tena mashine za EFD unajua walitoa sababu gan? Ni kwamba mfumo wa zile mashine za kwanza uli hakiwa kwa hiyo hawakua na jinsi zaidi ya kuwaambia wafanyabiashara wanunue tena mashine mpya!!

Kila siku websites zina dukuliwa...

Hii ndio sababu watu wa comp security wanahutajika ili wazuie matatizo kama haya!!

Mind you, usisome kwasababu ina ajira au haina... Ukitaka kufanikiwa kwenye field za computer unachohitaji ni PASSION na sio soko la ajira!!

If you have passion then go for it otherwise bora usiende!!
 
Aisee kweli inabidii kukomaa sana maana maswala ya kupambana na ma Hacker akili lazima iwe timamu.. Sasa nimegundua kwanini baadhi ya wadau hapo juu wanasema ni ngumu ngumu.. ngoja nikomae nayo tu mkuu nikiimaster vizuri naenda zangu kupiga kazi sillicon valley.
 
aisee kwerii inabidii kukomaa sana maana maswala ya kupambana na ma Hacker akili lazima iwe timamu.. sas nimegundua kwa nin baadhi ya wadau hapo juu wanasema ni ngumu ngumu.. ngoja nikomae nayo tu mkuu nikiimaster vizuri naenda zangu kupiga kazi sillicon valley.
Ukifanikiwa kwenda zingatia haya
1. Jitahidi uwe njema kwenye programming
2. Penda field yako
3. Epuka ku doji vipindi
4. Ji update kila siku maana tech field ina badilika kila siku
5. Rudia namba 1
6. Rudia namba 1

Kila la heri
 
Asante sana kiongozi nashukuru kwa ushauri wako.
 
Back
Top Bottom