Bachelor Of Science in Computer and Information Security vs Bachelor Of Science in information system

Bachelor Of Science in Computer and Information Security vs Bachelor Of Science in information system

Uswiss

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
841
Reaction score
2,169
Waheshimiwa kwa aneyefahamu haya maswala vizuri naomba kujuzwa kati ya hizo programmes tajwa hapo juu ipi ipo vizuri.. kwa upande wa kujiajiri, kuajiriwa, pesa, ipi ipo katika soko kwa sasa na kwa baadae.

Bachelor Of Science in Computer and Information Security vs Bachelor Of Science in information system.
 
Bachelor Of Science in Computer and Information Security<<<<< hii ndio kiboko mkuu hutajutia...ina vitu flani amazing sana...based on usalama mtandaoni.. inabidi uwe coder/programmer mzuri ili kuweza kunufaika zaidi na hii kitu.. Karibu katika ulimwengu wa INFORMATION SECURITY..
 
Asante mkuu kwenye code nipo fresh kidogo kwani nina diploma ya computer science... vipi kwa upande wa ajira/kujiajiri soko lipo??
 
Chukue security ina hela sana na kazi zipo,ila uwe kichwa mzee inahitaji watu serious sababu ni ngumu ngumu..
Asante mkuu, naomba unifafanulie vizuri hapo kwenye ugumu ni ngumu kivip?? Na je ina uhusiano wowote na computer science?
 
asante mkuu kwenye code nipo fresh kidogo kwani nina diploma ya computer science... vp kwa upande wa ajira/kujiajiri soko lipo??
Mkuu unagombanisha hizo programmes kwa kigezo cha pesa?
Penda kwanza after then utafanikiwa zaidi ila kama unataka ushauri wa ipi ina pesa ina maana utasoma kwa ajili ya pesa then utafail mipango yako baadae.
Mafanikio siku zote huja kwa kupenda unachofanya.
Mark alipenda programming thats why alifanikiwa na kuwa tajiri mkubwa.
So tazama ipi inakuvutia zaidi wewe ila kuhusu mpunga sikushauri.
 
Waheshimiwa kwa aneyefahamu haya maswala vizuri naomba kujuzwa kati ya hizo programmes tajwa hapo juu ipi ipo vizuri.. kwa upande wa kujiajiri, kuajiriwa, pesa, ipi ipo katika soko kwa sasa na kwa baadae.

Bachelor Of Science in Computer and Information Security vs Bachelor Of Science in information system.
Mkuu mi nimesoma bsc in information systems.. Nnaweza sema ni coz nzuri inakuandaa kumanage business kwa kutumia information technology coz utasoma it na baadhi ya coz za business kama finance and accounting ila kuhusu hiyo program nyingine unatakiwa ujipange maana ina makolokolo mengi halafu ni magumu ila kama ulishasoma diploma ya computer science itakusaidia bt kwa nyongeza zaidi unapokuwa unasoma hizo usifikirie sana kuajiriwa maana ajira nazo zmekuwa chache, jitahidi uwe mbunifu kabla ya kumaliza hiyo program... Ni hayo tu.
 
MKUU MI NIMESOMA BSC IN INFORMATION SYSTEMS.. NNAWEZA SEMA NI COZ NZURI INAKUANDAA KUMANAGE BUSINESS KWA KUTUMIA INFORMATION TECHNOLOGY COZ UTASOMA IT NA BAADHI YA COZ ZA BUSINESS KAMA FINANCE AND ACCOUNTING ILA KUHUSU HIYO PROGRAM NYINGINE UNATAKIWA UJIPANGE MAANA INA MAKOLOKOLO MENGI ALAFU NI MAGUMU ILA KAMA ULISHASOMA DIPLO YA COMPUTER SCIENCE ITAKUSAIDI BT KWA NYONGEZA ZAIDI UNAPOKUWA UNASOMA HIZO USUFIKIRIE SANA KUAJIRIWA MAANA AJIRA NAZO ZMEKUWA CHACHE JITAHIDI UWE MBUNIFU KABLA YA KUMALIZA HIYO PROGRAM... NI HAYO TU.
Good
Siku hizi hata ukitengeneza games ni pesa
 
Bachelor degree ni kama foundation course.. Mwisho wa siku lazima uje ufanye professional certificates either za security, networking, linux etc ili uwe vizuri zaidi... Kwahiyo someni kwanza izo degree zenu vijana
 
Bachelor degree ni kama foundation course.. Mwisho wa siku lazima uje ufanye professional certificates either za security,networking,linux etc ili uwe vizuri zaidi... Kwahiyo someni kwanza izo degree zenu vijana
Sawa sawa kiongozi... ila tupe ushauri kwanza mtazamo wako ipi ni best kati ya hizo mbili hapo juu
 
Waheshimiwa kwa aneyefahamu haya maswala vizuri naomba kujuzwa kati ya hizo programmes tajwa hapo juu ipi ipo vizuri.. kwa upande wa kujiajiri, kuajiriwa, pesa, ipi ipo katika soko kwa sasa na kwa baadae.

Bachelor Of Science in Computer and Information Security vs Bachelor Of Science in information system.

Zingatia jambo la muhimu kua majina ya kozi ni general sana isiwe ndo msingi wa kuwaza kama ina ajira, soko ama vitu kama. kitu cha msingi unatakiwa kukiwaza ni elimu ya namna gani unaenda kupata. fedha na ajira ni matokeo ya kutumia elimu sio aina ya elimu. ata ukisoma procurement unaweza pata ajira nzuri na mafanikio mazuri. again its not the knowledge alone, its how you use your knowledge.

kila chuo kina prospectus na curriculum. nenda katika vyuo husika na uombe na kushauriwa kutoka kwenye curriculum ya college au kozi apo ndo utajua haswa utasoma nini kwa muda gani na utafundishwa na aki nani wenye qualificaton zipi. maoni ya ubora wa kozi kutoka kwa wadau sokoni nafkiri ni mtazamo wa juu juu sana na ukizingatia majina ya kozi kila siku yanabadilika na mitaala kuboreshwa na watu kutofautiana njia walizopita kupata mafanikio.

Tafuta pia mtu anaesoma hizo kozi akupe mazingira ya ufundishaji na ushauri kuhusu chuo na kozi husika.
 
Mtoa mada una diploma na bado hujui kozi ipi nzuri kati ya hizo... au wasoma ili usifiwe na watu kuwa umesoma computer?

Hata hiyo diploma pekee inakutosha hapo sana sana ongezea professional courses/certificates kama za cisco na cyber security
 
Waheshimiwa kwa aneyefahamu haya maswala vizuri naomba kujuzwa kati ya hizo programmes tajwa hapo juu ipi ipo vizuri.. kwa upande wa kujiajiri, kuajiriwa, pesa, ipi ipo katika soko kwa sasa na kwa baadae.

Bachelor Of Science in Computer and Information Security vs Bachelor Of Science in information system.
Hizi bila shaka zinapatkana pale infomatics Udom
 
MKUU MI NIMESOMA BSC IN INFORMATION SYSTEMS.. NNAWEZA SEMA NI COZ NZURI INAKUANDAA KUMANAGE BUSINESS KWA KUTUMIA INFORMATION TECHNOLOGY COZ UTASOMA IT NA BAADHI YA COZ ZA BUSINESS KAMA FINANCE AND ACCOUNTING ILA KUHUSU HIYO PROGRAM NYINGINE UNATAKIWA UJIPANGE MAANA INA MAKOLOKOLO MENGI ALAFU NI MAGUMU ILA KAMA ULISHASOMA DIPLO YA COMPUTER SCIENCE ITAKUSAIDI BT KWA NYONGEZA ZAIDI UNAPOKUWA UNASOMA HIZO USUFIKIRIE SANA KUAJIRIWA MAANA AJIRA NAZO ZMEKUWA CHACHE JITAHIDI UWE MBUNIFU KABLA YA KUMALIZA HIYO PROGRAM... NI HAYO TU.
Asante kwa ushauri kiongozi
 
zingatia jambo la muhimu kua majina ya kozi ni general sana isiwe ndo msingi wa kuwaza kama ina ajira, soko ama vitu kama. kitu cha msingi unatakiwa kukiwaza ni elimu ya namna gani unaenda kupata. fedha na ajira ni matokeo ya kutumia elimu sio aina ya elimu. ata ukisoma procurement unaweza pata ajira nzuri na mafanikio mazuri. again its not the knowledge alone, its how you use your knowledge.
kila chuo kina prospectus na curriculum. nenda katika vyuo husika na uombe na kushauriwa kutoka kwenye curriculum ya college au kozi apo ndo utajua haswa utasoma nini kwa muda gani na utafundishwa na aki nani wenye qualificaton zipi. maoni ya ubora wa kozi kutoka kwa wadau sokoni nafkiri ni mtazamo wa juu juu sana na ukizingatia majina ya kozi kila siku yanabadilika na mitaala kuboreshwa na watu kutofautiana njia walizopita kupata mafanikio.
tafuta pia mtu anaesoma hizo kozi akupe mazingira ya ufundishaji na ushauri kuhusu chuo na kozi husika.
Asante kwa mawazo yako kiongozi, nitayafanyia kazi
 
mtoa mada una diploma na bado hujui kozi ipi nzuri kati ya hizo... au wasoma ili usifiwe na watu kuwa umesoma computer?
hata hiyo diploma pekee inakutosha hapo sana sana ongezea professional courses/certificates kama za cisco na cyber security
Hapana mkuu sio hivyo.. najaribu kutafuta mawazo na mitazamo ya watu wengine pia.. ila asante kwa mtazamo wako
 
Back
Top Bottom