Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
rejao acha siasa...mjibu dogo kwanza
Labda wanyama pori na watalii wana standards zao katika masomo ya biashara lakini huo wizi tuB.com inabaki kuwa B.com, hizo nyingine mbwembwe tu.
sijui waliwaza nini hao jamaa, wameifuta management sciences{informations /materials management}Labda wanyama pori na watalii wana standards zao katika masomo ya biashara lakini huo wizi tu
Saint I,rejao acha siasa...mjibu dogo kwanza
chuo kinambebaje? Hapo akomae tu apate GPA ya maana, japo kwa UDBS inahitaji msuli wa ziada. Kapige shule dogo na usiende kushobokea mademu.chuo kinakubeba kip it up
Hahahaha....hiyo ya kwenda kushobokea mademu umeniacha nayo hoi!!chuo kinambebaje? Hapo akomae tu apate GPA ya maana, japo kwa UDBS inahitaji msuli wa ziada. Kapige shule dogo na usiende kushobokea mademu.
i always love exploring new grounds. hawaanzishi kozi bila kufanya market survey! hiyo kozi itakua nzuri sana, i can think of 100 opportunities za kujiajiri na kuajiriwa pia.nadhani sekta ya utalii inaenda doro kwa sababu hatuna proffessionals. kila la kheri, do ur thing and do it right.
chuo kinambebaje? Hapo akomae tu apate GPA ya maana, japo kwa UDBS inahitaji msuli wa ziada. Kapige shule dogo na usiende kushobokea mademu.
Usiwazie Bcom ya miaka yetu ile ya zamani!
Sasa hivi from first year mtu unaopt kama ni accounts, finance, material mgt or human resource!
Wanakuwa wanasoma vitu tofauti kabisa kuanzia mwaka wa kwanza!
Asante sana mkuu. Ni kweli ni field nzuri sana hasa huku kwetu Ngorongoro na sehemu nyingine nyingi TZ. Nahisi hiki ndo kiwanda kinachoipa mkoa wa Arusha Jina. Nitajihidi kusoma mkuu.Tourism the best field....... Jamaa zangu wamemaliza wapo chuo wanafundisha mweka college, pia we have plenty tour firms hazina watu na ukichanganya na commerce ndo balaa. Tz bado ni wachanga kwa mambo mengi. Hivi mnajua kuwa tuna watu wasiozidi 3000 wenye cpa?? So, uwanja ni mpaka jamani....plz soma
NANI AISEEHongera Mdogo wangu,nenda kasome hiyo kozi,ukifika 2nd Year ,utaamua la kufanya,huna haja ya kuchanganyikiwa kabisa
Umekuwa nani kwasasaHATA MIMI NIMEPATA IO CJUI NITAENDA KUA
NANI AISEE