Bachelor of commerce in tourism and hospitality management. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bachelor of commerce in tourism and hospitality management.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Monasha, Sep 3, 2011.

 1. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Sina shaka kwamaba kila mmoja wenu ni mzima wa afya.
  Wakuu mimi nauliza kwamba hii course ya bachelor of commerce in tourism ambayo ni mpya pale UDSM, ambako ndipo nilipopangwa, mnaionaje??
  Nimepangiwa UDSM na course ndo hiyo hapo juu. Naombeni mawazo yenu katika hili.

  Asanteni na nawasilisha.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Sa we uliiomba ya nin?
   
 3. a

  ammah JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  jiandae kusoma accountancy, business mathematics bila kusahau uchumi.
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hivi ndio unasoma hiyo course uje kuwa nani?
  Opt for bcom accounts or finance! Hizo nyingine zitakusumbua kwenye job market
   
 5. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Asante mkuu kwa mchango wako.
   
 6. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Ina maana hata kujiajiri sitoweza??aaaah mkuu ajira si lazima uajiriwe tu na mtu au kampuni.

  Asante kwa mchango wako lakini mkuu.
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  nad hospitality management?ni kozi moja hyo?
   
 8. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  accounts of finance ndiyo kitu gani? Acha kumpoteza dogo.
   
 9. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Kweli hapo ndo sielewi kabisa maan naona ni kama vitu viwili tofauti kabisa.
   
 10. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  B.com inabaki kuwa B.com, hizo nyingine mbwembwe tu.
   
 11. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Kwa hiyo naweza kusema kwamba nimepangwa B.com? na kuondoa zile zingine eti?
   
 12. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #12
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Mawazo ultakiwa kuomba kabla hujaomba kozi.
  Kwa sasa ni sawa na kumpa maiti dawa.
  Kasome ukimaliza upambane na soko la ajira.
   
 13. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Hahaaha...Mkuu acha zako za kukatisha tamaa. Mimi sina hofu na ajira kwani ajira si lazima tu uajiriwe kaka. Unaweza pia kujiajiri.

  Mimi nilichokuwa nahitaji ni kwamba wewe kama member na great thinker, unaionaje hii course. Sijaomba ushauri wa kwamba nikasome au la.
  Wewe kama wewe unaionaje course hii mpya udsm?? Na kwa mfano ni wewe ndo unasoma unaonaje??
   
 14. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  yap sababu utasoma koz za accounting, finance,marketing na human resources, mtaachana koz chache 2nd na 3rd year, ila 1st mnakuwa sawa.
   
 15. s

  saggy Senior Member

  #15
  Sep 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2008
  Messages: 153
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hongera Mdogo wangu,nenda kasome hiyo kozi,ukifika 2nd Year ,utaamua la kufanya,huna haja ya kuchanganyikiwa kabisa
   
 16. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Nashukuru sana mkuu. Lakini unaposema ukifika second year niamue ina maana kutakuwa na mabadiliko??Au inakuwaje hapo??
   
 17. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nowdays wanaspecialize mapema, siyo kama enzi zetu sisi ukifika 2nd year unachagua uende wapi.
   
 18. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 508
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 80
  Hapo nimekupata na nashukuru kwa mchango wako.
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Sep 4, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahaha...haya mkuu!
  Jaribu tena kuiquote!!!
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Usiwazie Bcom ya miaka yetu ile ya zamani!
  Sasa hivi from first year mtu unaopt kama ni accounts, finance, material mgt or human resource!
  Wanakuwa wanasoma vitu tofauti kabisa kuanzia mwaka wa kwanza!
   
Loading...