Bachelor of commerce in tourism and hospitality management.

Dah!hiyo degree ni mkanganyiko mkubwa Bachelor in Commerce in Tourism n Hospitality Management khaa! pamoja na kwamba ni mpya ila you have a long way to go, unaweza kuwa mtu gani ukigraduate? yani hapo uchumi+utalii mmmh hata ukarimu (hospitality)nao mnaenda kujifunza shule!mmmh haya all the best
 
i always love exploring new grounds. hawaanzishi kozi bila kufanya market survey! hiyo kozi itakua nzuri sana, i can think of 100 opportunities za kujiajiri na kuajiriwa pia.nadhani sekta ya utalii inaenda doro kwa sababu hatuna proffessionals. kila la kheri, do ur thing and do it right.
 
chuo kinambebaje? Hapo akomae tu apate GPA ya maana, japo kwa UDBS inahitaji msuli wa ziada. Kapige shule dogo na usiende kushobokea mademu.
Hahahaha....hiyo ya kwenda kushobokea mademu umeniacha nayo hoi!!
 
Hapa sina chakuchangia. Naona ina uchumi, utalii na ukarimu. Ila hilo ni jina nenda ukaangalie course content, hauwez judge koz kwa title lake.
 
i always love exploring new grounds. hawaanzishi kozi bila kufanya market survey! hiyo kozi itakua nzuri sana, i can think of 100 opportunities za kujiajiri na kuajiriwa pia.nadhani sekta ya utalii inaenda doro kwa sababu hatuna proffessionals. kila la kheri, do ur thing and do it right.

Asante sana mkuu kwa ushauri wako na mtazamo chanya kwa hao wanaoanzisha courses hizi. Kweli sidhani kama wataanzisha tu hivihivi bila kuzifanyia research.
 
chuo kinambebaje? Hapo akomae tu apate GPA ya maana, japo kwa UDBS inahitaji msuli wa ziada. Kapige shule dogo na usiende kushobokea mademu.

Asante kaka kwa ushauri wako. Mpaka sasa najiamini, mademu si jadi yangu. Ungekuwa unanifahamu ungeniambia niendelee na tabia niliyonayo kwa sasa. Najua the way of living inabadilika kutokana na mazingira ila nitajitahidi kufanya kile kilichonirudisha Dar toka hapa A town.
 
Hapa sina chakuchangia. Naona ina uchumi, utalii na ukarimu. Ila hilo ni jina nenda ukaangalie course content, hauwez judge koz kwa title lake.

Huo pia ni ushauri tena wa maana sana mkuu. Asante mkuu.
 
Usiwazie Bcom ya miaka yetu ile ya zamani!
Sasa hivi from first year mtu unaopt kama ni accounts, finance, material mgt or human resource!
Wanakuwa wanasoma vitu tofauti kabisa kuanzia mwaka wa kwanza!

Ni iko vle vle tuu, First Yia wote Bcom ni watasoma pamoja na ni kozi zlezle, Kuanzia second yia ndo watakua tofauti.. Bro Usiwaze, Ni iko vzuri wapo jamaa wanasoma Hio ktu tunawaona bt km utataka kubadlsHa na una sifa za kusoma kozi nyngne km Accounting, Finance, marketing au HR utaweza, UDBS Hua wanatoa Mwez mmoja wa kwanza kwa wanaotaka KubadlsHa kozi wafanye Hvo provided tuu uwe mefkia cut off points zao.. So ni ww tu Hapo!!
MuHmu zaid ni ujiandae tuu, B.com ni kawaida tuu zo watu Hua ni tunAwapoteza sana Hapa.. Discipline tuu na sHule, utatoka.. Karbu sana UDSM Kaka n zaid karbu UDBS.
 
Tourism the best field....... Jamaa zangu wamemaliza wapo chuo wanafundisha mweka college, pia we have plenty tour firms hazina watu na ukichanganya na commerce ndo balaa. Tz bado ni wachanga kwa mambo mengi.
Hivi mnajua kuwa tuna watu wasiozidi 3000 wenye cpa?? So, uwanja ni mpaka jamani....plz soma
 
Tourism the best field....... Jamaa zangu wamemaliza wapo chuo wanafundisha mweka college, pia we have plenty tour firms hazina watu na ukichanganya na commerce ndo balaa. Tz bado ni wachanga kwa mambo mengi. Hivi mnajua kuwa tuna watu wasiozidi 3000 wenye cpa?? So, uwanja ni mpaka jamani....plz soma
Asante sana mkuu. Ni kweli ni field nzuri sana hasa huku kwetu Ngorongoro na sehemu nyingine nyingi TZ. Nahisi hiki ndo kiwanda kinachoipa mkoa wa Arusha Jina. Nitajihidi kusoma mkuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom