Bachelor of banking and finance IFM

Bachelor of banking and finance IFM

kama ni taasisi ni kwanini kipo chin ya tcu na ni registered university with qualification to run university programs and services

tcu, imeisaliji ifm ,isw,imtu, kama taasisi ambazo baadae zitakuwa vyuo vikuu,
 
SIKU Ukiwa unaenda kuanza chuo pale IFM usisahau kubeba Mikanda Ya GUCCI, LOUIS VOUITON,VIATU AINA YA SUPRA,CAROLITE na JEANZ ZA KUBANA! Make sure unakuwa navyo hivyo ili uweze ku-cop na mazingira ya pale!

Wagumu tunadum....
Ndo chama langu
 
Ifm ni taasisi na haina hadhi ya kuwa chuokikuu

Unataka hadhi ya chuo itakusaidia nini??...kwangu mimi hadhi yangu ndo kitu kikubwa na hadhi yangu italetwa na ajira na wala sio ifm au udsm......wasomi wa tz mnatia aibu kwa malumbano ya kiboya
 
MIT utasema sio chuo?

As long as kina offer degree programs na watu wanatoka vizuri kwenye soko la ajira basi iko ni chuo.....mi hata sijui haya mambo ya hiki chuo hiki sio chuo yanatokea wapi asee
 
kweli ifm ni taasisi na sio chuo kikuu

kwan muccobs ndio chuo?huwez linganisha lichuo lako la kata {muccobs} na ifm hata cku moja..ifm level nyingne.nakushangaa we dume zima unasomea mambo ya ushirika mpaka leo.
 
Admins mumefuta ile comment??....siwaingilii kazi yenu lakini mulikuwa mnatakiwa kumuonya huyu jamaa aache kuongea utumbo wake kwani anakera watu....watu wamejitoa kwenda kutafuta maisha ifm ye anaandika ujinga ujinga wake....sikupenda kumtukana lakini nadhani amestahili kwa alichokipata....nna hasira sana mnisamehe tu
 
kwan muccobs ndio chuo?huwez linganisha lichuo lako la kata {muccobs} na ifm hata cku moja..ifm level nyingne.nakushangaa we dume zima unasomea mambo ya ushirika mpaka leo.

NANI KAKUULIZAA , HUNA HOJA YA MSINGI MBELE YANGU ZAO LA SPECIAL SCHOOL, MUCCoBS NI Constituent college ya SUA , KAMA ILIVYO DUCE,!! SASA BASI HATUWEZI KULINGANISHWA NA TAASISI, !! HALAFU WEWE AVERAGE YAKO(UDSM),NI 40% , AMBAPO KWETU SISI SUA(MUCCoBS),NI E!! NA B YAKO HAPA SUA(MUCCoBS) NI C IKIMAANISHA UKIPATA G.P.A YAKO YA 3.0 UKIJA HAPA (SUA)MUCCoBS NI SAWA NA G.P.A YA 2.0!! , SUA(MUCCoBS), KWA MUJIBU WA CHUO CHETU KIKUU
 
hv we kima mpigamsuli mbona unapenda umaarufu??huu uzi haukuhusu umekuja kuingilia..acha shobo zako za kishamba hizo??mtoto wa kiume shobo hizo ipo siku utabakwa na wanaume wenzako??special school tabora na mm wa kibaha nisemeje?mbwa kasoro mkia wewe,.mm sisomi ifm but nakiheshimu sio wewe unabwatuka hovyo kama khadija kopa!!
 
mpigamsuli ni khadija kopaaa kila sehemu yupo anatafutaa na_ma_b_wa.
 
kukosa kujiamini na maarifa utasoma hadi mapepe.so lazima uajiriwe

Nakuunga mkono, tatizo la watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri na ndio maana wazo la kwanza ni kuajiriwa baada ya kumaliza chuo.
 
mm siongei na first year!! halafu me nasoma mzumbe sisomi muccobs!! jinga veve...
 
Back
Top Bottom