Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 584
admins mumefuta ile comment??....siwaingilii kazi yenu lakini mulikuwa mnatakiwa kumuonya huyu jamaa aache kuongea utumbo wake kwani anakera watu....watu wamejitoa kwenda kutafuta maisha ifm ye anaandika ujinga ujinga wake....sikupenda kumtukana lakini nadhani amestahili kwa alichokipata....nna hasira sana mnisamehe tu
wameona ujinga umeandika ndio maana wameifuta