Bacha......................Happy Birthday!!!!!!!

Happy birthday dear
hongera sana kwa kukimbilia uzee
huko ndiko kwenye busara na hekima nyingi..
usisahau wajukuu na vitukuu ukifika huko ....Amen


asante AD,
lol, nafikiri maombi yako yamepokelewa na Mwenyezi Mungu!
long live.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Happy birthday Bacha!!
Mungu akupe maisha marefu,
Akupe nguvu nyingi kama Samsoni,
Na hekima nyingi kama Suleiman.
Usiwe mchoyo bacha, tukaribishe,
Kwenye birthday!!!

Asante LD,
Mungu akubariki kwa baraka zote hizo unazoniombea lol...
Sitakuwa na sherehe yeyote,
kwani nipo njiani naelekea Loliondo!!!!!!!!!!!!!
 
Ningekupeleka ile sehemu yako unayopenda ila sasa hii Kwaresma inabidi tuhahirishe

Ni kweli kiongozi,
waswahili wanasema funika kombe shetani apite,
ukizingatia na mimi ni mwenyekiti wa jumuiya (fransisco wa asizi)
Hebu weka pending hiyo kitu bana.......................
 
Ndo siku yako hii kwahiyo itumie vizuri!Maadam wa kukudekeza tupo tele..we deka tu mpendwa!

Lol..Hapo Lizzy ndo huwa unanimaliza kabisa,
kauli yako imenifanya nivimbe kweli bichwa lol...!
 
Hongera mkuu Bacha kwa kuzidi kulisogelea kaburi.

Birthday party wapi nikapange viti?

Asante Babu,
Lakini pamoja na kulisogelea kaburi,
nimeambiwa kuwa busara na hekima nazo zinazidi kutawala!!!!!
Babu usihangaike kupanga viti,
nipo njiani naelekea Loliondo!
 
Lol..Hapo Lizzy ndo huwa unanimaliza kabisa,
kauli yako imenifanya nivimbe kweli bichwa lol...!
Hehehe kumbe hua nakumaliza??Lolz!Ila kweli bwana we vimba kichwa..weka miguu juu and relax!Hata ukitaka kukohoa unaita mtu wa kukupigapiga mgongoni!
 
happy bday mkuu.
uzidi kukua,kama hujafunga ndoa ufunge,uzae,uzeeke na mwisho ukufe.
 
Happy birthday Bacha!!
Mungu akupe maisha marefu,
Akupe nguvu nyingi kama Samsoni,
Na hekima nyingi kama Suleiman.
Usiwe mchoyo bacha, tukaribishe,
Kwenye birthday!!!

Happy birthday!!
 
Hongera kwa kuzaliwa katika kipindi hiki cha kwaresma,
Ukue katika kimo na busara kwa kuishika imani
Mungu mwenye heri akuongezee uhai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom