Bacha......................Happy Birthday!!!!!!!

Happy birthday Bacha, mi nimechelewa hujanibakishia kipande cha keki?
 
Hili toto bacha bado limelala?

We Dena hapo juu hebu twende PM kule.
 
Hili toto bacha bado limelala?

We Dena hapo juu hebu twende PM kule.

Dah, asanteni sana wapendwa,
kwa wale wote mlionikumbuka katika siku yangu,
ya kuzaliwa, Mungu awazidishie kila la heri!mbarikiwe sana,
jana nilikuwa naweka DEKO la kufa mtu!!!!!!!!
MUNGU ANAWAPENDA NYOTE!!!!!!!!!!!
 
Dah, asanteni sana wapendwa,<br />
kwa wale wote mlionikumbuka katika siku yangu,<br />
ya kuzaliwa, Mungu awazidishie kila la heri!mbarikiwe sana,<br />
jana nilikuwa naweka DEKO la kufa mtu!!!!!!!!<br />
MUNGU ANAWAPENDA NYOTE!!!!!!!!!!!

Unalala sana wewe!!!
 
Dah, asanteni sana wapendwa,
kwa wale wote mlionikumbuka katika siku yangu,
ya kuzaliwa, Mungu awazidishie kila la heri!mbarikiwe sana,
jana nilikuwa naweka DEKO la kufa mtu!!!!!!!!
MUNGU ANAWAPENDA NYOTE!!!!!!!!!!!

nakuombea maisha marefu yenye baraka bacha,,
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom