Baby you are my number one

Baby you are my number one

mmmh!!!
ila akikutenda na kukubwaga uendelee kutoa sifa hivyohivyo

hongera sana
 
brenda18 mami, you are not my number one, you are my ONLY ONE

(sorry kwa kuchakachua Kasii)
 
Last edited by a moderator:
Kasindeeee nikisomaga thread zako huwa na tabasamu tu
Hongera and be happy always with him.
 
Last edited by a moderator:
:A S-heart-2::A S 11::A S-heart-2::hug:

Habari zenu wapendwaaaaa,

Kimya kingi kina mshindo mwingi, mkiona malove love na makopa kopa na mahug ujue ndo ivo tenaaaa, dadaaaa anaolewa......

Sijui nianzie wapiii......., OK wacha niende hivi, October to me has been good, nimeanza nayo kwa raha, amani, furaha na upendo. Nimepata ajira mpya yenye kipato zaidi, mafao telee hii inanipa nguvu ya kuinjoi on the coming festive season December hiyo maana ni mwezi wa matumizi. Saying that nimepata mchuchu aliyenishia ambako sijawahi kushikwa, amenilisha ambavyo sijawahi kulishwa, amenisemesha maneno ambayo sijawahi sikia, yaani hadi raha. Wengine wameniambia ni penzi jipya ila mie nikasema hataa utamu wa penzi unanoga kila leo ati nisubiri miezi sita iishe, hata kabla miezi sita kuisha raha ninayoipata ni kama miaka 3 jinsi ambavyo nimelawalawa kwa kijana huyu.

Namwaga sifa sasa, ni mtamu, mkweli, gentleman, cool guy, smart, time keeper, a husband to run to, a shoulder to lean on, a pillow to lay on (hata kama ananidanganya ila uongo wake mtamu) anajua mapenzi, anajua kupenda, ananijali, amekuwa muwazi kwangu nami pia kwake, imebaki kula yamini tuu.....aaahh acha niishie hapo.

Mpenz wangu huyu msiulize yuko JF hahhaahahaaaaa hiyo information ni classified, until further notice si nanijua Kasie mie nasimuliaga kila kitu, with time ntawaambia tuu maana MMU ndo mahala pangu pa kusimulia niende wapi tena. (ASANTE MAXCELLO KWA KUILEA JF HASA MMU) ila nisamehe kama nimekosea jina lako.

Hamjagundua Kasie wiki hizo zilizopita alipoa sana, amekuwa kimyaaa, hata uchangiaji wake wa mada ulikuwa hafifu? hahahahhaaa ni hayo Mambo ya October hayooo Mungu anipe nini tena mie Kasinde......., haya wale waliokuwa wanaboreka na mie kupopo na kula ujana sasa nimeacha, nimekuwa mtu mpya. Kwa ruksa ya shemeji yenu nimeweka uzi hapa. MPENZ U R MY NUMBER ONE, NAJUA UNANISOMA HAPA, LOVE U A MILLION, THIS ISMY DEDICATION TO YOU....... Baby you're my number one by Enrique Iglesias
Kudoz MMU love u many.
Kasie aka :A S-heart-2::A S-heart-2::hug: yaani mapendo na makumbato uhiiiiiiiii.

am too old to this shit
 
Hahaha..
Haipingiki ndoa kila mtu anaitaka...ujana tunautaka ila ndoa jamani ndoa tunajipa moyo tu ndoa si lazima ila deep down we tunatamani
Hongera Kasinde ila angalia your happiness isidepend na huyo mchuchu rather it should be an independent happiness...wish you luck boo
 
Last edited by a moderator:
Hahaha..
Haipingiki ndoa kila mtu anaitaka...ujana tunautaka ila ndoa jamani ndoa tunajipa moyo tu ndoa si lazima ila deep down we tunatamani
Hongera Kasinde ila angalia your happiness isidepend na huyo mchuchu rather it should be an independent happiness...wish you luck boo

brenda18 tunasubiri kula pilau ujue...
Na kupakata, tafadhali fanya haraka.
 
Last edited by a moderator:
brenda18 mami, you are not my number one, you are my ONLY ONE

(sorry kwa kuchakachua Kasii)

Yaani wakati nasoma hii post nilikua nakuwaza...you are my everything baby
 
Last edited by a moderator:
Haahahaha daaah kumbe unapiga piga keleleee wee humu ndani kumbe hujaolewa....??
 
Yaani wakati nasoma hii post nilikua nakuwaza...you are my everything baby

ndiyo maana kila nikitembea njiani nacheka, watu wanasema nimechanganyikiwa, kweli nimechanganyikiwa na penzi lako mama...nivuruge, niloweshe, nikoroge.

nakupenda brenda18

CC Elli79
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...mshenga kweli nimechachamaa lakini Mapi amedata.

as if ulikuwa unaniona nikiandika post iliyotangulia

au ni wewe pale njiani ulikuwa unasema nimechanganyikiwa??
 
Back
Top Bottom