Baby you are my number one

Baby you are my number one

huyu ndo wale wale ambao wakishakutana tu na kijamaa wakakunwa kunako ambapo hawajawahi kufika, baada ya wiki mbili wanatangaza Ndoa!!!! baada ya ndoa sasa story zinaanza jukwaani, utasikia hoooo mwenzenu yamenishuka!!!! aya mama kila la kheri.
 
:A S-heart-2::A S 11::A S-heart-2::hug:

Habari zenu wapendwaaaaa,

Kimya kingi kina mshindo mwingi, mkiona malove love na makopa kopa na mahug ujue ndo ivo tenaaaa, dadaaaa anaolewa......

Sijui nianzie wapiii......., OK wacha niende hivi, October to me has been good, nimeanza nayo kwa raha, amani, furaha na upendo. Nimepata ajira mpya yenye kipato zaidi, mafao telee hii inanipa nguvu ya kuinjoi on the coming festive season December hiyo maana ni mwezi wa matumizi. Saying that nimepata mchuchu aliyenishia ambako sijawahi kushikwa, amenilisha ambavyo sijawahi kulishwa, amenisemesha maneno ambayo sijawahi sikia, yaani hadi raha. Wengine wameniambia ni penzi jipya ila mie nikasema hataa utamu wa penzi unanoga kila leo ati nisubiri miezi sita iishe, hata kabla miezi sita kuisha raha ninayoipata ni kama miaka 3 jinsi ambavyo nimelawalawa kwa kijana huyu.

Namwaga sifa sasa, ni mtamu, mkweli, gentleman, cool guy, smart, time keeper, a husband to run to, a shoulder to lean on, a pillow to lay on (hata kama ananidanganya ila uongo wake mtamu) anajua mapenzi, anajua kupenda, ananijali, amekuwa muwazi kwangu nami pia kwake, imebaki kula yamini tuu.....aaahh acha niishie hapo.

Mpenz wangu huyu msiulize yuko JF hahhaahahaaaaa hiyo information ni classified, until further notice si nanijua Kasie mie nasimuliaga kila kitu, with time ntawaambia tuu maana MMU ndo mahala pangu pa kusimulia niende wapi tena. (ASANTE MAXCELLO KWA KUILEA JF HASA MMU) ila nisamehe kama nimekosea jina lako.

Hamjagundua Kasie wiki hizo zilizopita alipoa sana, amekuwa kimyaaa, hata uchangiaji wake wa mada ulikuwa hafifu? hahahahhaaa ni hayo Mambo ya October hayooo Mungu anipe nini tena mie Kasinde......., haya wale waliokuwa wanaboreka na mie kupopo na kula ujana sasa nimeacha, nimekuwa mtu mpya. Kwa ruksa ya shemeji yenu nimeweka uzi hapa. MPENZ U R MY NUMBER ONE, NAJUA UNANISOMA HAPA, LOVE U A MILLION, THIS ISMY DEDICATION TO YOU....... Baby you're my number one by Enrique Iglesias
Kudoz MMU love u many.
Kasie aka :A S-heart-2::A S-heart-2::hug: yaani mapendo na makumbato uhiiiiiiiii.

huyu atakuwa ni yule mmarekan, kweli ulinasa penyewe
 
Mkibwagana usije kuanzisha uzi Ohhh wanaume wakatili.
 
Mkibwagana usije kuanzisha uzi Ohhh wanaume wakatili.

Count me off for those who starts threads of that kind, coz i've never did and I will never do it.
 
Angalia asije kuwa mme wa mtu, coz nafasi siku hizi za usajili zimekua chache, usijesajiliwa kwa mkopo.
 
Angalia asije kuwa mme wa mtu, coz nafasi siku hizi za usajili zimekua chache, usijesajiliwa kwa mkopo.

Hahahahaaa kama umemchunguza Kasie utajua ni mtu aliyeyakatia tamaa mahusiano, hadi nimeingia jamaa amefanya kazi si ya kitoto na nilimpekenyua kila kona, file lake likoclear baada ya kubana na stepla karatasi za nyuma na kuziginga muhuri wa PAST IS HISTORY.
Niko full registered..
 
Hahahahaaa kama umemchunguza Kasie utajua ni mtu aliyeyakatia tamaa mahusiano, hadi nimeingia jamaa amefanya kazi si ya kitoto na nilimpekenyua kila kona, file lake likoclear baada ya kubana na stepla karatasi za nyuma na kuziginga muhuri wa PAST IS HISTORY.
Niko full registered..

Na lile file la black history umelikagua vyema, coz wanaume tunajua kutumia fursa haya!!!
 
Nina uhakika 100% baada ya mwaka mmoja utamu unaoupata utaulipa kwa maumivu makali na machozi.

kila kitu huanza na sifuri na kuendelea

naona wewe baada ya ubuyu kuazia kuwa mchicha., ubuyu huu lazma urudi uwe mchicha kwanza.


najua utakuja tena kutuomba ushauri.
 
I was just reading between the lines na kubold pale panapotakiwa kubold LOL...

Hahahahaa hahaaa best unanusa mmmhhhh muda utafika ntawafahamisheni tuu shemeji yenu, ati wakware wakae pembeni hahahahaaa wamekusikia. Kasie is swinging with October
 
ALL the best mamy
believe in it and live to the best in it
 
Back
Top Bottom