Baby you are my number one

Baby you are my number one

We umeniombea maombi mabaya ya kuja kulia baadae na kuomba ushauri, nilijua dua kama hizi zitakuwepo rejea mada yangu nilisema kwa raha na utamu ninaopata sasa hata ikija shida baadae ntavumilia tuu, upo hapo?

Nina uhakika 100% baada ya mwaka mmoja utamu unaoupata utaulipa kwa maumivu makali na machozi.

kila kitu huanza na sifuri na kuendelea

naona wewe baada ya ubuyu kuazia kuwa mchicha., ubuyu huu lazma urudi uwe mchicha kwanza.

najua utakuja tena kutuomba ushauri.
 
Reading carefully between the lines, it looks like jamaa ni member wa hapa JF and if not basi ni mfuatiliaji mzuri wa JF..
Wakware wake pembeni sasa

Kwani si kasema kuwa ni memba wa mmu au hujasoma habari yote....
 
Nina uhakika 100% baada ya mwaka mmoja utamu unaoupata utaulipa kwa maumivu makali na machozi.

kila kitu huanza na sifuri na kuendelea

naona wewe baada ya ubuyu kuazia kuwa mchicha., ubuyu huu lazma urudi uwe mchicha kwanza.

najua utakuja tena kutuomba ushauri.

100%???????? Utakuwa mwanga wewe si bure #justkidding
 
We umeniombea maombi mabaya ya kuja kulia baadae na kuomba ushauri, nilijua dua kama hizi zitakuwepo rejea mada yangu nilisema kwa raha na utamu ninaopata sasa hata ikija shida baadae ntavumilia tuu, upo hapo?

Kasinde .! yaani hapo hakuna mapenzi, ila sema jamaa ni mtalamu wa kugegeda tu.

lakn watu kama hao, ni hatari sana katika maisha ya kimapenzi., wanapendwa na watu wengi sana!!!, yaan kwa jinsi ulivyoelezea ukija kugundua kwamba ana chepuka, utakuja uniambie maumivu yake.

mapenzi ni kama unachemusha maji.
 
Last edited by a moderator:

Kwendraaaaa......
 
Last edited by a moderator:
asante!! kwa kunipa utaalam, nisioujua. mungu akubariki sana emen.

Ndio sasa utasemaje una uhakika wa asilimia mia jambo ambalo hulicontrol wewe?? Au we ndo huyo mkaka...hube mumuwache Kasinde wa watu.
 
Last edited by a moderator:
Love is blind and you are blinded already....take your brains with u...
 
Ndio sasa utasemaje una uhakika wa asilimia mia jambo ambalo hulicontrol wewe?? Au we ndo huyo mkaka...hube mumuwache Kasinde wa watu.

mapenzi ya kisasa, ni lazma iwe hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Ndio sasa utasemaje una uhakika wa asilimia mia jambo ambalo hulicontrol wewe?? Au we ndo huyo mkaka...hube mumuwache Kasinde wa watu.
Bora umeona na wewe mwenyewe kakazana na 100% au sjui wivu anatamani ndo awe yeye laah!!
 
Last edited by a moderator:
Hongera Kasinde,wenye roho mbaya utawajua tu!Mwenzenu kapata mnabaki kumtabiria ovyo!na hata akija kuachana naye haibadilishi fact kuwa she is in love!!,Amante upo wapi?
 
Back
Top Bottom