Baby utanipa lawama[emoji24]

Baby utanipa lawama[emoji24]

Hivi mwanamke anakuwaje moja ya priorities za mwanaume?
Yaani mtu mnayekutana ukubwani kabisa.
Tutafuteni hela tu.
Tutawapata wa kila aina.
Jisemee wewe nafsi yako
 
Aisee, hajakuweka mwaka mzima ? atakuwa anamla mtu mwingine....Wanaume tunajuana 🤣🤣🤣🤣
 
I have got 99 problems, a bitch ain't One
 
Ukisoma mstari kwa mstari unaelewa tu lengo ni nini!

Huu mwaka kabla haujaisha nina assignments 4 za JF za namna hiyo, kuna research nafanya, nitaleta mrejesho, mbili za Dar, moja Mwanza, Moja Dodoma, na ya Arusha.
 
Ooh kila la heri

anakupenda sana ila uchumi umemkaba..angekua hakupendi asingekwambia muonane stand..ila ishu ya kusema hataki papuchi mpaka muoane SIUNGI MKONO,,inaezekana mtalimbo umelala doro,,test mitambo mapema,,kuna mwenzio mmoja aliolewa na shoga kushtuka ni baada ya ndoa,,hadi saiv anashndwa kuchomoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom