Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,343
- 201,605
Yaani wanaume bwana!
Sema wewe mwanaume bwana
Sio vizuri kutuzalau wote
Yaani wanaume bwana!
Anaona una mzingua tu ....haiwezekani Mtu haujaonana nae mwaka mzima then iwe hana shauku ya kuonana nawe wakati anakupenda !!!!
Acha akajilie papuchi anayoipenda huko BK ..... (BwA hahaaa)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana mkuu sijawazalau ila najua wanaume wengi wako hivyo na kama wewe hauko hivyo basi hongera sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema wewe mwanaume bwana
Sio vizuri kutuzalau wote
😆😆😆leta sub wooferHuyo jamaa hakupendi. Nasikika vizuri au nilete sub woofer?
Kwelihumu watu wanakuambia kweli kwa sababu hawajulikani ingekuwa wanajulikana wasingekuambia ukweli moja kwa moja.. unaweza kuta hata huyo anaesema akupendi asilimia 100 kumbe ndiyo huyo huyo unaejiaminisha ni mahabuba waswahili wasemavyo
PM sikuiz ina namba?sikia nakuja dodoma hivi karibuni nipe pm namba yako tuyajenge
Hahahahaa mwambie ,sitafuti Bwana Mimi,nilionao wenyewe siwawezi licha ya kuongezaPM sikuiz ina namba?
Basi tuma hela ya matofali niendelee kuyajenga ,fyuuuuusikia nakuja dodoma hivi karibuni nipe pm namba yako tuyajenge
Huna mvuto kwake unajipendekeza tuHuyu ataki papuchi ,aliniambia hatanigusa Hadi tuoane,na nimjuavyo ndivyo alivyo ,.
Hahaha Kuna Mambo Mengine Yana vunja mbavu mkuuSasa mbona unamcheka Tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tume fanyaje jamani?Yaani wanaume bwana!
Alishindwaje huyu mdada kuja Dar??? Au na yeye mwanafunzi??? Mchizi kafulia kaenda kuomba nauli Bagamoyo ndo ashuke njiani??? Ela ya gest chakula na kifuta jasho atatoa wapi??? Au mnataka apewe na Zero IQ??Nàuli si ishirin tu ?
Anatafuta fadhila kimyakimya[emoji1]Hivi ni mimi sijaelewa au vipi!!! Hii mada inazungumzia nini?
Nothing!Tume fanyaje jamani?