Baby utanipa lawama[emoji24]

Baby utanipa lawama[emoji24]

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Mimi:Kesho ukimaliza pepa una ratiba gani

Yeye:Naenda Bagamoyo kwa ancle wangu

Mimi:Then after

Yeye:Baada ya hapo Nitaenda home (Bk)

Mimi:Muda mrefu hatujaonana lakini na kumbuka tulipanga ukimaliza UE tutakuwa na muda mzuri wa kuongea kuhusu muelekeo wa mapenzi yetu

Yeye:Ni kweli mama Ila naona kidogo ishu ya hela inakuwa ngumu kwa upande wa nauli ya kuja Dom.
Tufanye kukutana stand ya dodoma angalau tusalimiane nitakapokuwa naenda Bk

Mimi🙁Kwa unyonge Sana ),Sawa.

""""Kuna kijana anakuja kwa kasi ya 4G nimemkataa kwa sababu sipendi kukuumiza kwa Mara ya pili
Pamoja na changamoto unazopitia wakati huu nimeamua kujifunza kukupenda kwa sababu una moyo mzuri uliojaa upendo , I see the bright future a head with u darling
Ila maswala ya mapenzi uyapi kipaumbele kabisa ,can u imagine mwaka mzima hatujaonana hata kwa kiss tu na kunishika mkono???? yet unasema unanipendaaa?,BABY UTANIPA LAWAMA[emoji24]
Vitoto vya Facebook mkishakuja huku ni kisanga
 
mpaka sasa haujajua kwanini yeye ni mwanaume mwanaume yupo radhi aisubiri hata miaka miwili huku akiw anagusa nyingine akikuamnisha yupo na wewe siku ukimpa ndio utajua alikua ana mapenzi ya kweli au lah huwa hatutaki kukosa vyote
 
Couples za chuo
 
Mmmmh kweli eehe
 
Weka kapicha dada huenda ukasaidiwa ushauri

Jamaa kamaliza UE kafulia hana nauli ya kuunga unga na ww mwaka mzima ulishindwa kujiongeza kumfata Dar???

Mi kutoka Dar kuja Dom kujufata hata kesho nakwea FIRST CHOICE[emoji6][emoji6]
 
Endelea kudangwanywa. Nadhani hauzijui genye vizuri. .Pia hauitambui Dunia jinsi inavyo fanya kazi katika mtindo wake wa asili
Huyu ataki papuchi ,aliniambia hatanigusa Hadi tuoane,na nimjuavyo ndivyo alivyo ,.
 
The guy has priorities, but you are not one of them!...mimi kama mwanaume nina uhakika asilimia tisini huyo jamaa hakupendi?
Alafu tayari amempukuchua uko chini...

Ata mimi kuna demu nilikuwa nampenda ila nilivyo mgegeda tu... Yani hana ladha.. Uko chini mtera kuna afadhali..

Adi leo niko nae tu.. Kama yalivyo mahusiano ya mtoa mada
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Mimi:Kesho ukimaliza pepa una ratiba gani

Yeye:Naenda Bagamoyo kwa ancle wangu

Mimi:Then after

Yeye:Baada ya hapo Nitaenda home (Bk)

Mimi:Muda mrefu hatujaonana lakini na kumbuka tulipanga ukimaliza UE tutakuwa na muda mzuri wa kuongea kuhusu muelekeo wa mapenzi yetu

Yeye:Ni kweli mama Ila naona kidogo ishu ya hela inakuwa ngumu kwa upande wa nauli ya kuja Dom.
Tufanye kukutana stand ya dodoma angalau tusalimiane nitakapokuwa naenda Bk

Mimi🙁Kwa unyonge Sana ),Sawa.

""""Kuna kijana anakuja kwa kasi ya 4G nimemkataa kwa sababu sipendi kukuumiza kwa Mara ya pili
Pamoja na changamoto unazopitia wakati huu nimeamua kujifunza kukupenda kwa sababu una moyo mzuri uliojaa upendo , I see the bright future a head with u darling
Ila maswala ya mapenzi uyapi kipaumbele kabisa ,can u imagine mwaka mzima hatujaonana hata kwa kiss tu na kunishika mkono???? yet unasema unanipendaaa?,BABY UTANIPA LAWAMA[emoji24]
sikia nakuja dodoma hivi karibuni nipe pm namba yako tuyajenge
 
Huyo jamaa hakupendi. Nasikika vizuri au nilete sub woofer?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom