Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,105
- 9,115
Huu ndo ukweliThe guy has priorities, but you are not one of them!...mimi kama mwanaume nina uhakika asilimia tisini huyo jamaa hakupendi?
Huu ndo ukweliThe guy has priorities, but you are not one of them!...mimi kama mwanaume nina uhakika asilimia tisini huyo jamaa hakupendi?
Ameshindwa kumwambia live kaja kulimwaga hukuSasa huu ujumbe si ungemtumia yeye baby wako
Vijana wa kileo sijui mnakwama wapi au na yeye yupo JF forum
Good communication is a key to the most social issues including the bright future ahead of you n’ your baby
But unaonekana msumeno kweli... Yaliyomo yamo nni[emoji716]Siyo yeye
Msumeno ndo Nini 4G liteBut unaonekana msumeno kweli... Yaliyomo yamo nni[emoji716]
Kikombo ndani ndaniDodoma upo maeneo gan mkuu ni PM
SitafutiDodoma upo maeneo gan mkuu ni PM
The guy has priorities, but you are not one of them!...mimi kama mwanaume nina uhakika asilimia tisini huyo jamaa hakupendi?
Utafuti nin?Sitafuti
Nàuli si ishirin tu ?Weka kapicha dada huenda ukasaidiwa ushauri
Jamaa kamaliza UE kafulia hana nauli ya kuunga unga na ww mwaka mzima ulishindwa kujiongeza kumfata Dar???
Mi kutoka Dar kuja Dom kujufata hata kesho nakwea FIRST CHOICE[emoji6][emoji6]
Kifaa cha kurandia mbaoMsumeno ndo Nini 4G lite
The guy has priorities, but you are not one of them!...mimi kama mwanaume nina uhakika asilimia tisini huyo jamaa hakupendi?
we dada acha uongo.. nitamwita musiba aje na orodhaBado
Sweetheart these words are razors to my wounded heart!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mimi:Kesho ukimaliza pepa una ratiba gani
Yeye:Naenda Bagamoyo kwa ancle wangu
Mimi:Then after
Yeye:Baada ya hapo Nitaenda home (Bk)
Mimi:Muda mrefu hatujaonana lakini na kumbuka tulipanga ukimaliza UE tutakuwa na muda mzuri wa kuongea kuhusu muelekeo wa mapenzi yetu
Yeye:Ni kweli mama Ila naona kidogo ishu ya hela inakuwa ngumu kwa upande wa nauli ya kuja Dom.
Tufanye kukutana stand ya dodoma angalau tusalimiane nitakapokuwa naenda Bk
Mimi🙁Kwa unyonge Sana ),Sawa.
""""Kuna kijana anakuja kwa kasi ya 4G nimemkataa kwa sababu sipendi kukuumiza kwa Mara ya pili
Pamoja na changamoto unazopitia wakati huu nimeamua kujifunza kukupenda kwa sababu una moyo mzuri uliojaa upendo , I see the bright future a head with u darling
Ila maswala ya mapenzi uyapi kipaumbele kabisa ,can u imagine mwaka mzima hatujaonana hata kwa kiss tu na kunishika mkono???? yet unasema unanipendaaa?,BABY UTANIPA LAWAMA[emoji24]
Yaani wanaume bwana!Anaona una mzingua tu ....haiwezekani Mtu haujaonana nae mwaka mzima then iwe hana shauku ya kuonana nawe wakati anakupenda !!!!
Acha akajilie papuchi anayoipenda huko BK ..... (BwA hahaaa)