Baby utanipa lawama[emoji24]

Baby utanipa lawama[emoji24]

Kumbe [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] nampiga chini mchana huu huu
Wewe ndo umeshapigwa chini.

Iko hivi...wanaume wengine na mimi nikiwemo hua hatupigi chini wanawake eti nikuambie(napiga chini kimya kimya)
Nitasubili zaidi yako mpaka uniache mwenyewe ili usiumie

Ntakachofanya ntaendelea kuwa na wewe nishakupiga chini utaona tu siko committed na hiyo love utajiongeza tu.

Saivi umebumbuluka eti umpige chini wakati wewe ulishapigwa chini kitambo.
JIONGEZE
 
Jf lahaaaa
 
Itakua jamaa alikupendea kitu kingine nnje ya hivyo ila dahhh nashangaa huyo mbona hana moyo wa kiume mana sisi wanaume huwaga hatulembagi alafu tukipata chance tunajuaga kuigiza vizur sana
 
Maisha ya chuo, hela ya kwenda kugegeda unaitoa wapi mwisho wa mwaka wa masomo.

Hapo jamaa kapiga mahesabu akikutana na manzi ni kama 100k inakatika wakati hiyo ndio hela ya safari kwenda Bukoba.
Hamna mapenzi hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom