Baby simu yangu imeharibika

Baby simu yangu imeharibika

Ndio mim mganga wa maradhi yako ndio maana unaweza toa sim, gari na miamala bila kupinga.

sijui kama kwa ubahiri nilionao nitakununulia hata vocha...!!!

Ngoja kwanza au labda uwezo wa kufanya hivyo sina....!!
 
nitakua nakuja na ndala za bata hapo vip utaniroga ??

Hahahahaha!!!! Hapo sasa ndio utakuwa umeharibu, waganga hatataki umaskini.

Kwakua utakuwa hauna faida, itabidi ufanywe msukule uwe unaosha vyombo, kufua nk.
 
Hahahahaha!!!! Hapo sasa ndio utakuwa umeharibu, waganga hatataki umaskini.

Kwakua utakuwa hauna faida, itabidi ufanywe msukule uwe unaosha vyombo, kufua nk.

we mwanamke vipi mbona unapenda hela kama pochi kwa nini usiolewe na benki ??
kwangu utakula mgegedo tu hela kafanye kazi ndio maana mliambiwa msome sio muolewe
 
we mwanamke vipi mbona unapenda hela kama pochi kwa nini usiolewe na benki ??
kwangu utakula mgegedo tu hela kafanye kazi ndio maana mliambiwa msome sio muolewe

Haaa!!! Pwesa ndio mpango mzima, nani hapendi pesa????

Mim na umaskini kama muuza bangi na difenda ya polisi, upo hapo MO11

Tukisema tusiolewe nyie si mtakuwa wehu mtaani, mnaweza kuishi bila sisi nyie??
 
Last edited by a moderator:
Wakati una muaproach simu ilikua nzima kabisa.

Lakini baada tu ya kuanza mahusiano; ghafla simu inaharibika.

Hivi kwanini kina dada simu zenu zinaharibika baada ya kupata wapenzi wapya?

duh umekutana nalo mkuu,
 
Haaa!!! Pwesa ndio mpango mzima, nani hapendi pesa????

Mim na umaskini kama muuza bangi na difenda ya polisi, upo hapo MO11

Tukisema tusiolewe nyie si mtakuwa wehu mtaani, mnaweza kuishi bila sisi nyie??

kama kweli unapenda pesa fanya kazi pesa zipo za kuhongwa zitawatokea puani akina dada.....!!

Hivi hujui rafiki wa polisi ni muhalifu ??

Sisi tunaweza kuishi bila nyie
mbali na kujifunga tunaweza kufunga kwa mikono kama maradona......!
 
Last edited by a moderator:
kama kweli unapenda pesa fanya kazi pesa zipo za kuhongwa zitawatokea puani akina dada.....!!

Hivi hujui rafiki wa polisi ni muhalifu ??

Sisi tunaweza kuishi bila nyie
mbali na kujifunga tunaweza kufunga kwa mikono kama maradona......!
Hahahahaha!!!! Yaah!!! Mnaweza pia maana hata sabuni zipo.

Haya bhana!! Tutafanya kazi kwa bidii sana na kuvaa pichu za chuma.
 
cjawah kununua maku, ila nikiguswa natoa msaada. nyota yangu watoto wa matajiri. tena wao ndo wananipa pesa. juz nimepewa blackberry bold. ntake nn tena.
ctak njaa nkiona kijitu kina lia njaa na kishit nasonga mbelle nakiacha na maneno makali mf cnunui maku, sinza najua zinauzwa vinabak na majonzi moyon
 
jibu raisi kwani mi fundi?au hupajui kwa fundi...
 
Back
Top Bottom