Wakati una muaproach simu ilikua nzima kabisa.
Lakini baada tu ya kuanza mahusiano; ghafla simu inaharibika.
Hivi kwanini kina dada simu zenu zinaharibika baada ya kupata wapenzi wapya?
Kwani mdau we ulitakaje???simu isiharibike wala anything negative kisitokee??inaonekana wewe ni selfish na haupo tayar kupenda boga na ua lake..
Nakushauri mfate angalia hiyo simu kweli kama ni mbovu.kama ni mbovu nunua mpya mfurahie mapenz yenu umfraishe na mwenzio.wanaume mmeumbwa kutoa na inapendeza sana mkitoa kwa moyo.
Polee una nyota ya ubuzi!
Tena imeshika kasi sana wana maduka wanauza hizo simu!Kwani hiyo style bado ipo?
Kuhonga ndio uanaume wenyewe vijana siku hizi mnalialia tu, kama majukumu hamuwezi kuweni wapole tuachieni kaka zenu
Tena imeshika kasi sana wana maduka wanauza hizo simu!
Nasubiria uchaguzi uishe....
sasa mwambie tuipeleke kwa fundi uone:"oh bby jamani si uninunulie nyingine tu" nikununulie nyingine kwani mimi ndo nilie kuharibia