kamjabari
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,132
- 1,640
Kipindi nikiwa mdogo nilikuwa naona bibi zangu na mama zangu wakiwa nyenyekea waume zao kwa dhati .
Yaani akina bibi waliwawanyeyekea sana babu zetu ,hali kadharika na mama zetu walikuwa ni wanyenyekevu na wenye kujari sana waume zao kinyume na sasa ambapo wanawake wengi wanazingatia pesa na si utu na heshima inayo stahili kwa waume zao.
Hii imepelekea hata watoto wanao kua sasa na kuona mienendo ya maisha ya wazazi au majirani na wao heshima na maadili kupukuchuka kwa kiwango kisicho faa.
Hii 50/50 imetuharibia sana wanawake ,hizi tamaduni za wazungu hazitufai sisi waafrika ,tuanze kuludisha tamaduni zetu .