Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #221
Aisee kabakabana mbona hivyooo...au ndio wivu?
Excelent kakumwaga then ndo umekuja na sera ya TUKOSE wote????
mh
hehe hujui kuna watu wanammendea? We leta ya mwanamke pozi utashangaa umeliwa
;Jamani erick cant do that to me..lol
Umeona eeeh unanisaidia ila ukienda kwa Amy unachomekea vimajungu kidogo....ningekuwa sipendi ningekupigia debe jana wee jishaue tu hapa
Bby nilikuambia watu hawapendi kuona wenzao wanapendana...lol
hawana hata haya.....hasa huyu Kaby.....hhahaaaa
Kwako nimefika mama....
Umeona eeeh unanisaidia ila ukienda kwa Amy unachomekea vimajungu kidogo....
hahahahaaaa nakuharibia kwa Mr.
Hahahahaaaaa sasa yupi ni nyumba kubwa?eti kanimwaga!wenzako tuna mambo ya kidhungu tulikuwa kwa mkataba sasa hivi niko nimejituliza kwa uporoto wangu
Mi mbona sina wasiwasi dear.. Hilo box lake la leso atakaa nazo mpaka atachoka cha zaidi atajifutia jasho tu mpaka ziishe..
Hahahahaaaaa sasa yupi ni nyumba kubwa?
HahahaaMi mbona sina wasiwasi dear.. Hilo box lake la leso atakaa nazo mpaka atachoka cha zaidi atajifutia jasho tu mpaka ziishe..
Teh unaogopa kukosa wote hahahahaaaassshhh,haya mambo tutayaongea chemba.
Hahahaa
Kwanza yeye ndo hajui nani wake coz mara Excellent mara Uporoto.....hahahahaaa badae utashangaa yuko na Klorokwini
Lol hajui Mwanamke kutulia?
Teh unaogopa kukosa wote hahahahaaaa
mwanamke mauzo eeeh na uuzike kweli.
Sweety za jioni ?hujanitumia ile kitu ndo maana, hehehe yule hapa kafika hasikii haoni kwa taarifa yako
Hahahaaaa mwanamke umbea babu weee....
teh oh nisijesutwa kidume mie
Hii chorus imetulia, message sent😛oa
Sweety za jioni ?
Lol ngoja namimi nimwombee ruhusa Amy wangu tuambatane huko muendako....saafi my shugabanana umeshindaje?usione leo umetoka mapema nilimcol bosi tena nimemwambia akupe leave ya wiki 2 twende mapumziko spain
Lol ngoja namimi nimwombee ruhusa Amy wangu tuambatane huko muendako....
Lol ngoja namimi nimwombee ruhusa Amy wangu tuambatane huko muendako....