Baby, can you try to be romantic?

Baby, can you try to be romantic?

Wanaume wa East Africa kupika wengi hawajui. Kumpikia mwanamke chakula ni romantic gesture
Kusafisha nyumba na kubadilisha shuka kitandani ni gesture nyingine.
Kama hayo huyawwezi mbebee handbag
Duuuuu inaonekana mmeo anapata shida sana
 
Wanaume wa East Africa kupika wengi hawajui. Kumpikia mwanamke chakula ni romantic gesture
Kusafisha nyumba na kubadilisha shuka kitandani ni gesture nyingine.
Kama hayo huyawwezi mbebee handbag
Umeanza.. Sasa
Hii haitokei kirahisi.. Plus wanaume wanajua kupika sana... Sena hamkawii ninyi.. Baba fredy WiFi kafika ...mtengenezee basi fried rice.. Wewe ndio unajulia.. Kesho.mmeo kwenye misiba na sherehe za kifamilia hakai vikao vya wazee tena anaachwa na akina mama kwenda kununua mahitaji ya jikoni.

Tuache tu.. Mpike mkiona mende au panya hata nyoka mtuite.. Hatuko mbali.
 
Auna maneno matamu uwezi kumu handle mpenzi wako aujui kubembeleza yani hahaha ni shida umenikumbusha mbali sana dah....
Jamaaa sijui atakuwa kablaa gàni??
Ashukuru demu kamchana ukweli
 
Au we mchaga,maana nimewahi kdate na mchaga duuh kama tupo depo muda wote......hata msg akituma duuh unajiuliza huyu kaamka na kapiga supu ya bange nini,kama naww ni mchaga utakuwa nidesign hiyo tu,maana mi niliwahi mwambia mara kibao tu nikaona hii ni shida ya kupewa mbege utotoni

Sina hamu na WACHAGA
 
Huhuhuhuhu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom