Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,346
- 201,630
Are you having nightmares?Bee cole
Are you having nightmares?Bee cole
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hujaelewa tafsiri ya hayo maneno au hujaelewa nin hasa?
hivi kwa akili hizi Magufuli ataacha kuchezea katiba yetu kweli?
Noo Cole ni vile i slept early ndo maana am awoke.Are you having nightmares?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] google sio watu wa mchezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mchaga unakuta anatuma sms kwa demu wake hivi... Oya inakuaje?[emoji23] [emoji23] [emoji97]Au we mchaga,maana nimewahi kdate na mchaga duuh kama tupo depo muda wote......hata msg akituma duuh unajiuliza huyu kaamka na kapiga supu ya bange nini,kama naww ni mchaga utakuwa nidesign hiyo tu,maana mi niliwahi mwambia mara kibao tu nikaona hii ni shida ya kupewa mbege utotoni
Sina hamu na WACHAGA
Hao ndugu ni majanga[emoji23] [emoji23] [emoji23] mchaga unakuta anatuma sms kwa demu wake hivi... Oya inakuaje?[emoji23] [emoji23] [emoji97]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujatulia wewe!
Wanaume wa East Africa kupika wengi hawajui. Kumpikia mwanamke chakula ni romantic gesture
Kusafisha nyumba na kubadilisha shuka kitandani ni gesture nyingine.
Kama hayo huyawwezi mbebee handbag
Ahahahahahahahahahaha nimecheka sana
Wachaga wanajitahidi. Wakurya wanagubu halafu hawajionyeshi sana wakipenda. Hawako romantic kiukweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah..ndiyo iwe hadi kwenye gem?....mie nilikuwa naona kama ananipa amri hivi.....🙂🙂😀😀Alikuwa anakuchukulia we kilaza