Baby, can you try to be romantic?

Baby, can you try to be romantic?

Kuna waumini fulani jamani jamani nawapenda sana wanajua mahaba kuliko waumini wa upande wa ule wa pili.
 
Hii kitu asee ni kwere unajua atamm nmewah kuambiwa ati be Gentle (na rafiki tu lakin). Naomba kam kuna mdada yeyote anaeweza kuelezea maana ya kuwa romantic au kuwa gentle. Msaada please maana hii imekuw shida sasa.
 
Naomben kujua pia mtu flan alwah kusema mi sina smile mbele yake, sahyo najtahid balaa ata kusmile lkn wap, wadada n noma asee sjui ata ni nin wanatakaga.
 
Wanaume wa East Africa kupika wengi hawajui. Kumpikia mwanamke chakula ni romantic gesture
Kusafisha nyumba na kubadilisha shuka kitandani ni gesture nyingine.
Kama hayo huyawwezi mbebee handbag
Tatizo ni pale mnapovichukulia hivi vitu for granted pale mtu anapojitolea kuvifanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom