Babu Shikamoo,
Kila kukicha na kuchwa unanisimlia hadithi za ujanani mwako ila hujawahi kunambia wazazi wangu ni kina nani na wako wapi? Sasa usiposema ntakusemea kwa Bibi unavyonipa ice cream ili nisimwambie wale wabibi wengine.
Leo humu
Asipolia mtu
Najiuzuru
taja cheo chako.
Mie nawajua waliokufundisha kuuliza hayo maswali, Cantalisia, Husninyo & King'asti at work.............!Babu ana wake na watoto wengi wengi ndo maana nachanganyikiwa toka nikiwa mtoto ananilea ye na bibi mkubwa tu. DNA itaonyesha mi ni mjukuu wa MTAMBUZI.
Mie nawajua waliokufundisha kuuliza hayo maswali, Cantalisia, Husninyo & King'asti at work.............!
Sasa ulishindwa kunivumilia nirudi nyumbani uniulize na badala yake unanianika mchana kweupe hivi, hiii ni Dhereu.........!
Ujue akina bibi ni vigeu geu, usiwaamini sanaHalii mtu Kongosho uzuri kina bibi waliridhia ndoa ya wake wengi. halafu babu sijui yuko mtaa gani hapa kwenye kahawa haonekani.
Polisi jamiitaja cheo chako.
Waziri wa afya!