Kipindi Fulani wakati anagawa kikombe niliwahi kumsikia akisema siku za baadae watu kutoka maeneo mbalimbali watafurika tena SAMUNGE hata kama siyo kwa sababu ya dawa.
Hivi karibuni kumegundulika mgodi wa dhahabu huko SAMUNGE na maelfu ya watu wameanza kuwasili kijijini hapo kwa ajili ya kujipatia risiki.
Najaribu kuupload picha ya mkusanyiko wa watu mtandao inagoma.
Nawasilisha.