Nairobifly
Member
- May 3, 2012
- 75
- 26
Safari kuelekea Samunge
babu tena
Mpiga madili masapile
Fanyeni haraka mana muhongo anakuja huko, akifika ndo mwisho wenu kuchimba. Ninyi Hamuezi kuwekeza kwenye vitu kama hivyo kwa hiyo muondoke muwapishe wawekezaji. Tafuta capital jiandae kuondoka mana wenye nayo wanakuja
Kama kaweza kuzalisha dhahabu kwa uchawi wake, basi wachawi wa namna yake tunawahitaji sana...kachawi tu kale kababu...
Kama kaweza kuzalisha dhahabu kwa uchawi wake, basi wachawi wa namna yake tunawahitaji sana
Babu aliHit sana kipindi chake kwenye chati za juu, mimi mwenyewe namfagilia
Haaaah! nimecheka mbaya isotope.
Nasikia kuna dhahabu ya kumwaga huko.
Mkubwa mimi nipo pande za hapa digodigo najiandaa kesho kuja huko mgodi mpya. Yaani tuna siku kama 5 huduma ndogondogo za mboga na matunda zimekatika hapa digo senta, vyote vimehamishiwa mgodi mpya.
Babu hakawii kuleta mpya juu ya dhahabu! Jamaa bonge la creator,,ni mjasiliamali wa kufa mtu. Na bongo za wajinga ndio mtaji wake mkubwa!