Babu wa Loliondo:- Utabiri wake umetimia

Babu wa Loliondo:- Utabiri wake umetimia

Karibu sana Skype.njoo na matunda za kutosha. usisahau simu yako ya mchina kwa ajili ya picha za humu Jf. yangu inanicngua kuupload.

Ngoja nifanye maandalizi nikifanikiwa ntakuja kwa gari ya Gebo kama akianza masafa ya huko maana siwezi kuja kwa pikipiki kukwepa gharama.
 
Ngoja nifanye maandalizi nikifanikiwa ntakuja kwa gari ya Gebo kama akianza masafa ya huko maana siwezi kuja kwa pikipiki kukwepa gharama.

Poa Skype. Karibu.
 
Umenikumbusha mbali sana! Tanzania ni kubwa jamani. Viongozi ndio wanao tufanya tuwe maskini na tuamini mambo ya kijinga.
Nilikwenda kunywa kikombe kwa Babu, nililala/ kaa katika msafara kwa siku sita ndio nikamfikia mzee.
Ardhi ya kule ina rutuba na mchanga wa kule una metameta kiashirio kwamba chini ya ardhi kuna mali
Samunge iko ndani ya bonde la ufa, so kwa kilimo usiseme.
Sidhani kama madini hayo yataita umati mkubwa kama ule wa kikombe
 
Wilaya hii imejaliwa Kuwa na rasilimali nyingi. baada ya kufika samunge tangu jana nilikutana na jamaa mmoja akanieleza kuwa kuna maeneo mengine ndani ya wilaya hii yana madini sana.mfano.alaitole;oloipiri; Arash; piyaya;Soit na maeneo mengine mengi. nimepanga niweke mahandaki mie.
 
Mwizi tu uyo mzee hana lolote said ya utapeli aliowapa vikombe wale wenye virusi wote walikufa kabla ya muda wao shauri ya uyo babu
 
Kutokana na idadi kubwa ya watu wanaokuja samunge; kuna baadhi ya makampuni yameanza kuleta mabasi yao. mfano Coastline imetia timu Samunge.
 
Muhogo atawabania haraka na kufanya dili na wachina. Hapendi wabongo watajirike mtampita umaarufu.
 
Kama kaweza kuzalisha dhahabu kwa uchawi wake, basi wachawi wa namna yake tunawahitaji sana

...hamna sehemu nimetaja dhahabu,lakini hata musa alipotupa fimbo ikageuka nyoka na wachawi wa farao nao waligeuza fimbo zao kuwa nyokaa, tofauti ni kwamba nyoka wa fimbo ya musa ilimeza fimbo za wachawi....
 
Tanzania kwa tamthilia zisizoisha ni kama pua na makamasi.... loading...
 
hakuna ubishi kwamba ulienda kupata maji ya uzima na unashukuru madhari uko hai kwanini usimfagilie teh teh
Ndio maan a najivunia afya yangu, babu yuko juu sana.

Katuhudumia wengo sana, hao wasiomkubali wanasumbuliwa na wivu
 
Yule ni zaidi ya great thinker! Hata Kama kuna ujanja katika mbinu zake lakini sura ya Utu ipo, tena ya unyenyekevu. Hebu fikiria ungekuwa mwanakijiji wa Samunge, maisha yalivyokuwa kabla ya Babu na baada ya Kilombero cha Babu!

Babu kashakuwa milionea.
 
Babu anacheza na muda ....................................
 
Avae kabisa joho la utabiri kama yule wa ndege iliyopotea na wengineo
 
Watu wa samunge wajiandae kuondoka kwani hili eneo limetengwa kwa ajili ya wawekezaji.....
 
Nasikia kupitia umaarufu wa Babu maisha yamekuwa afadhali kwa wananchi Wa loliondo. big up babu.
 
Back
Top Bottom