Babu wa Loliondo:- Utabiri wake umetimia

Babu wa Loliondo:- Utabiri wake umetimia

Updates:- watu zaidi ya 5000 kutoka kila kona ya nchi wameweka kambi eneo la machimbo na wanaendelea kumiminika. baadhi ya changamoto kama vile ukosefu huduma za afya, uchafuzi Wa mazingira n.k. serikali iweke mkono ktk hili.
 
hili lilikuwa wazi kuw Litatokea
cc kwa PakaJimmy unakumbuka kauli ya babu enzi ya kikombe?
 
Last edited by a moderator:
Mafanikio yapo, japo hakika kazi ni kubwa.
 
Alishawahi sema hicho kitu nakumbuka.. Kuwa watu watarud tena huko ila sio kwa kikombe.
 
yale madini yaligundulika siku nyingi tu, kikombe cha babu ilikuwa ni kusafisha ile njia ipitike, na ndio ilivyokuwa
 
Back
Top Bottom