Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Hivyo ndivyo ilivyo, na ziada yake ni kwamba:Mkuu hapa umesema kabisa, hii "placebo effect", the fact kuwa mtu umefika nyumbani kwa babu na kupata kikombe, tayari psychologically unajiona umepona, kumbe hakuna kitu ni placebo tu hahahhhhhh
"Hapa Arusha KILA HOSPITALI IMEPOKEA WATU WA MAGONJWA YA PRESHA, KISUKARI, PUMU, N.K. AMBAO WALIKWENDA LOLIONDO "KUTIBIWA" MARADHI HAYO NA BAADA YA KUPATA "NAFUU" (PSYCHOLOGICAL) KWA KAMA WIKI MBILI TU WAMEANZA KUUMWA SERIOUSLY NA KURUDIA DAWA ZAO ZA HOSPITALI TENA.
Pili, mimi nikiwa mfanyakazi wa maabara ya hospitali ya MT Meru, sijaona hata mgonjwa mmoja wa ukimwi aliyepata "seroconversion" yaani kurudi "seronegative from serpositive status". Kinachosikitisha ni kuwa kuna watu hawataki kabisa kusikia yanayosemwa na madaktari na wafanyakazi wa hospitali mbalimbali hapa Arusha ambao kila siku tuna-deal na watu wanaozidiwa baada ya kwenda Loliondo.
Mbaya zaidi kuna magazeti, tv na redio hayataki kabisa kusikia ukweli wa majanga yaliyowafika watu waliokwenda huko. Ajabu pia ni kuwa kuna watu ambao ukitaka kuwaeleza ukweli wanakuona wewe ni mpagani usiyemwamini Mungu. Naomba waandishi wa habari wawe proactive katika kutafuta ukweli na si kutegemea mass hysteria iliyowakumba maelfu ya watu wanaotafuta miujiza kwa nguvu."
Source: MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo: Kama Haya Ni Ya Kweli: Tiba Ya ' Babu' Na Ushuhuda Wa Kimaabara

unaenda kumuuliza dreva taxi kama muda wa ku-operate mabasi uongezwe? unategemea jibu gani? Mimi sitaki kusikia huyu kasema ivi au yule kasema vile. Watoe evidence hapa. Mtu asimame aseme aonyeshe the before and after effect. Kama vipi...wampeleke babu mahakamani ili tupate evidence. Lakini hatuwezi kuburuzwa kama makondoo. Hii ishu ina interests kibao na hivyo ni ngumu kuweza kupata jibu kamili.
What you fail to realize is that an infinity need not be open-ended. That you can have a closed infinity. Pi, 22/7 cannot be calculated precisely and therefore has an infinite value, but this value never reaches 3.15
Also, the fact that we don't know so much, does not guarantee that these questions will be endless. How do you know that somewhere down there we don't have a "Grand Unified Theory" ?
In addition, even if the questions are endless, indeed, if the questions are endless, this does not mean that god is validated. You can have a universe with endless questions -most probably a looping phenomena- and one that does not necessarily need a god.
Can you show me tangible proof that god exists?
"Hapa Arusha KILA HOSPITALI IMEPOKEA WATU WA MAGONJWA YA PRESHA, KISUKARI, PUMU, N.K. AMBAO WALIKWENDA LOLIONDO "KUTIBIWA" MARADHI HAYO NA BAADA YA KUPATA "NAFUU" (PSYCHOLOGICAL) KWA KAMA WIKI MBILI TU WAMEANZA KUUMWA SERIOUSLY NA KURUDIA DAWA ZAO ZA HOSPITALI TENA.
Pili, mimi nikiwa mfanyakazi wa maabara ya hospitali ya MT Meru, sijaona hata mgonjwa mmoja wa ukimwi aliyepata "seroconversion" yaani kurudi "seronegative from serpositive status". Kinachosikitisha ni kuwa kuna watu hawataki kabisa kusikia yanayosemwa na madaktari na wafanyakazi wa hospitali mbalimbali hapa Arusha ambao kila siku tuna-deal na watu wanaozidiwa baada ya kwenda Loliondo.
Mbaya zaidi kuna magazeti, tv na redio hayataki kabisa kusikia ukweli wa majanga yaliyowafika watu waliokwenda huko. Ajabu pia ni kuwa kuna watu ambao ukitaka kuwaeleza ukweli wanakuona wewe ni mpagani usiyemwamini Mungu. Naomba waandishi wa habari wawe proactive katika kutafuta ukweli na si kutegemea mass hysteria iliyowakumba maelfu ya watu wanaotafuta miujiza kwa nguvu."
Source: MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo: Kama Haya Ni Ya Kweli: Tiba Ya ' Babu' Na Ushuhuda Wa Kimaabara
"Hapa Arusha KILA HOSPITALI IMEPOKEA WATU WA MAGONJWA YA PRESHA, KISUKARI, PUMU, N.K. AMBAO WALIKWENDA LOLIONDO "KUTIBIWA" MARADHI HAYO NA BAADA YA KUPATA "NAFUU" (PSYCHOLOGICAL) KWA KAMA WIKI MBILI TU WAMEANZA KUUMWA SERIOUSLY NA KURUDIA DAWA ZAO ZA HOSPITALI TENA.
Pili, mimi nikiwa mfanyakazi wa maabara ya hospitali ya MT Meru, sijaona hata mgonjwa mmoja wa ukimwi aliyepata "seroconversion" yaani kurudi "seronegative from serpositive status". Kinachosikitisha ni kuwa kuna watu hawataki kabisa kusikia yanayosemwa na madaktari na wafanyakazi wa hospitali mbalimbali hapa Arusha ambao kila siku tuna-deal na watu wanaozidiwa baada ya kwenda Loliondo.
Mbaya zaidi kuna magazeti, tv na redio hayataki kabisa kusikia ukweli wa majanga yaliyowafika watu waliokwenda huko. Ajabu pia ni kuwa kuna watu ambao ukitaka kuwaeleza ukweli wanakuona wewe ni mpagani usiyemwamini Mungu. Naomba waandishi wa habari wawe proactive katika kutafuta ukweli na si kutegemea mass hysteria iliyowakumba maelfu ya watu wanaotafuta miujiza kwa nguvu."
Source: MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo: Kama Haya Ni Ya Kweli: Tiba Ya ' Babu' Na Ushuhuda Wa Kimaabara
Jana nilikuwa nafikiria hivi ikiwa Watanzania tunaamini dawa ya babu inaponya na serikali inaikubali na kuibariki kwa wananchi wake. Basi babu awekwe sehemu ambayo ni rahisi kufikiwa na watanzania wengi.
Wahimize wagonjwa waliopo Mahospitalini waende na kuwawezesha kufika ili wapate kikombe wapone. Halafu bajati kwenye Sekta ya afya na madawa ipunguzwe iwekwe kwenye miradi mingine kama Umeme, Maisha yaendelee!!!
Huenda huu ni muujiza wa kutupunguzia umaskini pia.
"Hapa Arusha KILA HOSPITALI IMEPOKEA WATU WA MAGONJWA YA PRESHA, KISUKARI, PUMU, N.K. AMBAO WALIKWENDA LOLIONDO "KUTIBIWA" MARADHI HAYO NA BAADA YA KUPATA "NAFUU" (PSYCHOLOGICAL) KWA KAMA WIKI MBILI TU WAMEANZA KUUMWA SERIOUSLY NA KURUDIA DAWA ZAO ZA HOSPITALI TENA.
Pili, mimi nikiwa mfanyakazi wa maabara ya hospitali ya MT Meru, sijaona hata mgonjwa mmoja wa ukimwi aliyepata "seroconversion" yaani kurudi "seronegative from serpositive status". Kinachosikitisha ni kuwa kuna watu hawataki kabisa kusikia yanayosemwa na madaktari na wafanyakazi wa hospitali mbalimbali hapa Arusha ambao kila siku tuna-deal na watu wanaozidiwa baada ya kwenda Loliondo.
Mbaya zaidi kuna magazeti, tv na redio hayataki kabisa kusikia ukweli wa majanga yaliyowafika watu waliokwenda huko. Ajabu pia ni kuwa kuna watu ambao ukitaka kuwaeleza ukweli wanakuona wewe ni mpagani usiyemwamini Mungu. Naomba waandishi wa habari wawe proactive katika kutafuta ukweli na si kutegemea mass hysteria iliyowakumba maelfu ya watu wanaotafuta miujiza kwa nguvu."
Source: MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo: Kama Haya Ni Ya Kweli: Tiba Ya ' Babu' Na Ushuhuda Wa Kimaabara
Huo ndio ukweli ambao baadhi ya WATANZANIA hawataki kuusikia, na ukisemwa wanatamani kupasuka kwa ghadhabu.
Nitaendelea kusimama upande nilioko, na ni heri niwe mjinga kusubiri kuliko kuwa mjanja wa kujiwahishia matatizo. Ni heri kuchelewa katika giza kuliko kuwahi katika mwanga uliotokeza ghafla! (maana yaweza kuwa radi)
Nimechangia na kuanzisha mada kadhaa, nikiwaambia ndugu zangu WATANZANIA, Tuache KWENDA NA FUNUNU! Kwa maana sasa kila FUNUNU inayokuja TUNAIKIMBILIA... Hakuna anaetazama matokeo ya mwisho ya fununu hizo. Ndipo nikasema TUNAUMWA MAFUNUNU!
Asante sana, kweli jf kisima cha wataalamHuo ndio ukweli ambao baadhi ya WATANZANIA hawataki kuusikia, na ukisemwa wanatamani kupasuka kwa ghadhabu.