Babu Wa JF Akiperuzi...

attachment.php

Halafu si unaona mpunga ulivyokubali? Kilimo Kwanza.

Kwetu watu wanaingia nazo mkutanoni, kina Lema, halafu wanaonekana wamaana.
 
Labda kama macho yangu yana makengeza, lakini nimemfananisha na mzee Mtambuzi akiwa bize kwenye utambuzi
 
Huyo ndio uzuri wa kuwa na choices,

Wiingi wa wababu wa JF umewapa wajuku maji ya kutosha ili wajifunze kuongelea,

Ila bwawa la mwenzetu ASA naona limejaa vibata vidogo vidogo vinaogelea!!

Hongera sana mzee mwenzetu,

Babu DC!!
 
Halafu nashangaa vijana wako wamekusahau kabisa, au hufanani na huyo aliye kwenye picha??
 
Back
Top Bottom