Babu Wa JF Akiperuzi...

attachment.php
 
Nilipoona picha Jina lako likanijia faster.. teh teh

Ni babu ..................shipirini

Ni babu mtibu maumivu sipirini :eyebrows:

huyo ni Aspirin hata avatar yake inajieleza alivyo msongo JF

hawezi kuwa Babu DC huyu lazima atakuwa babu dawa chungu .....
Khaaaa! Yaani mpaka sasa naongoza kama Manchester City..........

Wote mlionitaja bakora inawasubiri......... ntawacharaza!
 
haaaa haaaaa uuuuuuwiii mbavu zangu jamani babu weeee
Imekuwaje tena kajukuu kangu kapendwa? Mbona wajivunjia mbavu zako bure?

Bora mimi mjukuu wako SIJAKUTAJA kabisaaaaaa!...eti Babu, kwan mi' nimesema ni wewe Babu?, apana..sijasema.
Wee kajukuu kazuri. Zawadi yako ni kuninunulia kreti moja la biya kabla sijakucharaza bakora kwa kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa!
 
Imekuwaje tena kajukuu kangu kapendwa? Mbona wajivunjia mbavu zako bure?

Wee kajukuu kazuri. Zawadi yako ni kuninunulia kreti moja la biya kabla sijakucharaza bakora kwa kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa!

Babu hako ka kreti itabidi ushee na mjukuu wako Katavi maana yeye hajakutaja...
 
Back
Top Bottom