Babu Tale na Mwana FA vuteni subra

Babu Tale na Mwana FA vuteni subra

Babu tale hivi anaweza kweli kutoa analysis za uhakika kuhusu uchumi wa nchi


GDP,inflation ,devaluation

Hayo yote haelewi
 
Africa tunashobokea elimu sana halafu hata hao wenye elimu wanaharibu kuliko wasio na elimu!
Ndio maana wazungu wanasema mwenye PHD africa ni sawa na O lever leaver wa Ulaya au America!!
 
Back
Top Bottom