Babu Tale na Mwana FA vuteni subra

Babu Tale na Mwana FA vuteni subra

Hasunga alijitahidi sana kwenye sekta ya ushirika
 
Mkuchika bure kabisa huyo mzee muongo sana kuhusu maslai ya wafanyakazi
Ni mwongo ila aonei mtu, na alijaribu kuwakemea ma DC na RC juu ya kuweka watu ndani bila sababu, pili swala la mashahara, ajira, maslahi ya wafanyakazi ni juu ya rais, na rais alihaidi nae akafuata kauli ya mkulu lakini ndio hivyo tena! Nasema uwongo ndugu zangu?
 
Baada ya CCM kuvuna wabunge wengi sana wakiwemo wasanii watu walijua kabisa Naibu Waziri ama Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo angetokea kwenye kundi la wabunge wanasanaa lakini mambo yameenda ndivyo sivyo.

Lakini pia Isack Kamwelwe, Mpina, Zungu, Kigwangala, Hasunga nao pia wamepumzishwa kupisha watu wengine tuone itakuwaje. Uongozi ni kupeana vijiti, jiandaeni kukabidhi ofisi kwa mawaziri wapya
Nimefurahi sana mpina kupumzishwa,,kijana mpole na msitaarabu akabadirika ghafla baada ya kupewa madaraka,,tunashukuru rais kumbe aliyaona madudu ya huyu mpina na sakata lake la kupima roast samaki..
 
Hasunga alijitahidi sana kwenye sekta ya ushirika
Nashukuru Mungu kumtoa, mpotoshaji kweli, amechangia pakubwa kuua zao la korosho, kazi kusema kwenye TV eti tunaboresha zao la korosho na kusimamia maslahi ya wakulima, na projection kubwa wakati zao limeshuka uzalishaji zaidi ya asilimia 30.
 
Hasunga hakuwa na shida yule baba
Humjui nawe sio mkulima, unampenda kwa kumwangalia kwenye TV, ni mpenda kujitangaza kwenye TV na mpotoshaji ukweli alishughulika vibaya kupotea korosho kwenye amcos!
 
Baada ya CCM kuvuna wabunge wengi sana wakiwemo wasanii watu walijua kabisa Naibu Waziri ama Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo angetokea kwenye kundi la wabunge wanasanaa lakini mambo yameenda ndivyo sivyo.

Lakini pia Isack Kamwelwe, Mpina, Zungu, Kigwangala, Hasunga nao pia wamepumzishwa kupisha watu wengine tuone itakuwaje. Uongozi ni kupeana vijiti, jiandaeni kukabidhi ofisi kwa mawaziri wapya
Yaani walikuwa kwenye sekta ya music industry waingie tu wapewe nafasi za juu bila kuchunguzwa vema?! Inatakiwa wachunguzwe zaidi na pia wajifunze utendaji wa serikali. Tunajua wana uzoefu mkubwa kwenye tasnia yao lakini Rais na timu zake hawakurupuki tuwape muda wa kutosha waingie bungeni washiriki kwenye utendaji kisha wakiwa vizuri labda ndipo wafikiriwe.
 
Hivi Elimu ya Tale na Mwana FA ni gani? Magufuli anateua PhD na Masters za Uhakika😂😂😂🤣🤣🤣🤣😃😃😀😀😀. Labda wakaloge
 
Means kuna mataga 6 hapo Lumumba wanasugua benchi mpaka limekua la moto balaa.
Hadi ng'ombe waliokatwa mkia wamepata uteuzi lakini wewe mataga lia-lia umeachwa lumumba unywe wanzuki.
Hahahaaaa....... Mbowe anateuliwa soon kuwa mbunge na waziri asiye na wizara maalumu.

Anaenda kuwasimamia akina Halima James Mdee bungeni.
 
Rombo ni sehrmu ya ajabu sana. Kila wakichagua mbunge wa CCM lazima apewe uwaziri. Ila walivyo wababe watambandua tu akileta nyoko. Majimbo mengine ukipewa uwaziri tu ujue ubunge awamu inayofuata uko nje nje. Rombo walimbandua waziri wa Fedha.
Wanajielewa.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cc:1. kisarawe
2.tanga

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom