Babu Tale amnyonyoa Mrisho Mpoto, amwambia aache kiherehere na kutafuta kiki

kiss daniel

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
313
1,000
Aman iwe juu wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Babu kale kamnyonyoa vibaya sana mzee Wa kutafuta kiki kwenye misiba ya watu na majina ya watu

Mzee Wa kutembea pekupeku

Mzee asiye na soni

Mtu mzima hovyo

Kubwa jinga

Je kati yako hapo nan mkweli na muwaz kati ya tale na Mrisho mpoto?

Je kwa maon yako kati ya hao nani kaonesha kuwa hapend upuuz upuuz
Screenshot_20190303-190756.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,064
2,000
Aman iwe juu wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Babu kale kamnyonyoa vibaya sana mzee Wa kutafuta kiki kwenye misiba ya watu na majina ya watu

Mzee Wa kutembea pekupeku

Mzee asiye na soni

Mtu mzima hovyo

Kubwa jinga

Je kati yako hapo nan mkweli na muwaz kati ya tale na Mrisho mpoto?

Je kwa maon yako kati ya hao nani kaonesha kuwa hapend upuuz upuuz View attachment 1037085

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona babutale hajui kuandika?
 

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
5,628
2,000
Hii sawa kwani angempigia simu ingekuwaje mpk a post hadharani ukisikia uchonganishi ndio huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kama manager ana clear kwenye jamii madhala aliyoyaleta Mpoto kwa kufanya uma uamini Diamond hakutaka kwenda msibani ila kwa shinikizo lake ,njia pekee ni kumjibu hadharani umma ujue Diamond alienda kwa hiali kama mtanzania wa kawaida
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom