Babu Tale amnyonyoa Mrisho Mpoto, amwambia aache kiherehere na kutafuta kiki

Mpoto ni shida kaamsha hisia za watu wakaanza upya kuomboleza

Ruge alikuwa wa kipekee sio kwa umati ule nilioshuhudia pale gymkhana

Haters ni ruhusa muendelee na chuki zenu Ruge kahitimisha safari yake hapa duniani

Tutaonana baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaemuumbua mwenzie kwamba ajaenda kwa msiba ni bwegezi tu , hamna namna. Kufatili mambo
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom